Dah.... safi sana...acha mazwazwa yapigweMe wameniita mara 2 nikaenda na semina yao nimesikiliza lakini zote nimewatosa
Mkuu upo mpitimbi kweli au wazingua ...!??Nikiwaambia njooni mpitimbi tulime hamtaki sasa ngoja mkomeshwe hivyo hivyo, wanaume wa Dar ni watu wa hovyo sana aiseee.
Nikiwaambia njooni mpitimbi tulime hamtaki sasa ngoja mkomeshwe hivyo hivyo, wanaume wa Dar ni watu wa hovyo sana aiseee.
Mpitimbi ni SONGEA au wap mkuu nimewahi kuish huko katka harakati zangu za kutafutaMkuu upo mpitimbi kweli au wazingua ...!??
Daaah nimekumbuka mkuuMpitimbi ni SONGEA au wap mkuu nimewahi kuish huko katka harakati zangu za kutafuta
Good morning, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.
Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Unalima zao gani mkuu? Je kama unalima mirungi!Nikiwaambia njooni mpitimbi tulime hamtaki sasa ngoja mkomeshwe hivyo hivyo, wanaume wa Dar ni watu wa hovyo sana aiseee.
Nilikua na shemeji yangu fulani leo mchana akapokea simu kama tatu wakasalimiana good morning nikashtuka mbn sio muda wa good morningHawa Qnet wanasalamu yao Good morning iwe asubuhi , mchana hata usiku ...walitaka niingiza mkenge wakashindwa
Kuna watu wanashangaa saa kuuzwa milioni 5, Hizi je ?View attachment 629288 View attachment 629290
Ikumbukwe dola 1 si chini ya TSh. 2200/=
Tusaidie kwa kuweka ushahidi wa payment uliyofanya please!Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.
Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Mimi nalilima KunandunduNikiwaambia njooni mpitimbi tulime hamtaki sasa ngoja mkomeshwe hivyo hivyo, wanaume wa Dar ni watu wa hovyo sana aiseee.
imenikuta juzi sijarudi tena huko nilidhani ni freemason jion maswala ya goodmorning tena.Mi niliwauliza salamu yao,kwanini muda wote salam yao ni GOOD MORNING...jibu lao halikuniridhisha kwa kweli!Utapeli tu.