Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 619
Hii kitu si watu wanalalamika kila siku kumbe hamjifunzi
Kumbe ndo awa wa good morning ata mchana ee...pumbav zao walinikosaQnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.
Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
AiseeeYaani hawa ni wezi kabisaa Kuna jamaa yangu namfahamu ameshawishiwa na mke wake wakazua hadi hiace kujiunga watu waili kama million 10 alinishawishii eeenh lakini katika hali ya kawaida unajiuliza hakuna hela ya bure kiasi hicho na salamu yao ya Goodmorning.. Watanzania ebu tuache uvivu wa kufikiri kila nikiwaza hao biko,mojabet sijui tatu mzuka wezi na ninahisi huwa wanawaibia vijijini mana hizo buku buku ni nyingi i wish serikali yetu ingekuwa makini katika kufanya usajili wa vitu kama hivi tatizo ni kwamba hata wanaosajili hawafanyi reseach inatokea Tanzania peke yake eti na waziri aliyeitwa kuwaaminisha watu eti hajui loloteb Watza hakuna hela ya bure mimi hapa namtumikia mhindi naamka saa kumi na mbili mwisho wa mwezi ananipa laki 8 hapo nimenyeka ndo sembuse eti utafute million 5 itazalisha million 25 ...HAKUNA HELA INAYOKUJA BILA KUFANYA KAZI
watanzania wengi wanajifanya wajuaji acha wapigwe.mi nafurahia sanaYaani hawa ni wezi kabisaa Kuna jamaa yangu namfahamu ameshawishiwa na mke wake wakazua hadi hiace kujiunga watu waili kama million 10 alinishawishii eeenh lakini katika hali ya kawaida unajiuliza hakuna hela ya bure kiasi hicho na salamu yao ya Goodmorning.. Watanzania ebu tuache uvivu wa kufikiri kila nikiwaza hao biko,mojabet sijui tatu mzuka wezi na ninahisi huwa wanawaibia vijijini mana hizo buku buku ni nyingi i wish serikali yetu ingekuwa makini katika kufanya usajili wa vitu kama hivi tatizo ni kwamba hata wanaosajili hawafanyi reseach inatokea Tanzania peke yake eti na waziri aliyeitwa kuwaaminisha watu eti hajui loloteb Watza hakuna hela ya bure mimi hapa namtumikia mhindi naamka saa kumi na mbili mwisho wa mwezi ananipa laki 8 hapo nimenyeka ndo sembuse eti utafute million 5 itazalisha million 25 ...HAKUNA HELA INAYOKUJA BILA KUFANYA KAZI
Kuna msemo alisema mshana jr kuwa wapumbavu wanazaliwa kila sikuHii kitu si watu wanalalamika kila siku kumbe hamjifunzi
Wasukuma pamoja na kushika usukani lakin bado tu hamuachi asili.Qnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.
Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
watu wanakuambia hiyo ni pyramid mkuu so unapaswa kujiuliza, field yangu ni marketing ila sijawahi kujiunga ha hizo mambo coz naelewa zinavyofanya kazi , wanashiba wale top nyie wenzangu na mimi mtangoja sana ila ka huamini jiungeQnet ni biashara ya mtandao, hiyo ml5 ya saa ndio mtaji wako, ukishajiunga unawaunga na watu wawili wengine alafu unapata dollar 200 kwa kila mtu unayemuunga
haha haaa mie nilihudhuria moja ila nilipelekwa kimya kimya pasipo kujua napelekwa wapi mara nasikia goodmoring haa kuangalia saa mchanaWana presentations kama 3, mimi nilihudhuria presentation moja wananivuruga kwa kuongea kama cherehani, ukiuliza swali eti njoo presentation ya Pili utaelewa zaidi. Kwakweli nataka pesa ila si za haraka bila jasho kama za kucheza kamari na hizi za network
saa za kichina tuu mbona?Saa ya Morinho na Pogba ndo uuze bongo !?
Jamaa Fuka kweli umeonaNo gain without pain. Yaani ununue saa kwa milioni tano then wakupe saa plus 10 million? Akili gani hizi?
Hayo yote ni matapeli FX haina connection na utapeliD9, Amazon, forever living, Bitblub.nk
hiii michezo ni Upatu Wizi haina faida hamjifunzi to hakuna pesa rahisi
Ngoja tutawaletea mlejesho wa forex hadi mwezi wa kwanza tutawapa majibu naona nnchi za wenzetu wanapiga pesa sana
Mkuu vp hujaambulia hata mtoto mmoja mkaliJamaa wapo mikocheni B na maeneo mengine ya dar . Ukifika unakaribishwa kwa salam kedekede za "goodmorning partner" wana wanawake wazur kweli. Wanakuingiza kwenye chumba unasomeshwa weeee .kisha unaambiwa uje kesho tena. Juzi kuna mpuuzi alinipeleka pale na hakuniambia tunaenda kwenye ule ujinga nilivyotoka sijarudi tena. Pole mkuu wanasema mjini shule
Good Morning
Yaani elimu yoote iliyomwagwa hapa still unataka kuwekeza pesa zako huko?Nashauri tufanye utafiti kwanza wa namna ambayo network marketing inafanya kazi! Network marketing believe it or not is an industry kama ilivyo industry ya mziki, kilimo, uzishaji nakadhalika. It is a legitimate business sema haifanani na biashara tulizozoea na utashi wa biashara tulizozoea hautumiki huku! Me nashauri kila mtu afanye utafiti yakinifu na jaribu kidoogo kuwa open minded msiache hizi negative comments ziwaaminishe kwamba biashara ama kampuni ya Qnet ni magumashi. Kuna wasomi kibao wamemaliza chuo wamo humu, Auditors wa the Big 4, bankers, accountants vijana wadogo tu! Kwani unadhani wao wameona nini?? Hata Kampuni kama Apple, samsung, Tesla, inapata alot of negativity but they still make huge profits so dont let these few negative comments zikuzuie fursa nzuri ya kutengeneza passive income waache wanaobisha wapambane na ajira na small businesses(Mngesoma basi ata Rich Dad Poor Dad na 21st Century Business cha Robert Kiyosaki before spewing all this rubbish)! Nimepata presentations na nafanya mchakato wa kupata iyo hela nijiunge na hii fursa japo mchakato ni mgumu sio siri ila itafahamika tu!