Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Nashauri tufanye utafiti kwanza wa namna ambayo network marketing inafanya kazi! Network marketing believe it or not is an industry kama ilivyo industry ya mziki, kilimo, uzishaji nakadhalika. It is a legitimate business sema haifanani na biashara tulizozoea na utashi wa biashara tulizozoea hautumiki huku! Me nashauri kila mtu afanye utafiti yakinifu na jaribu kidoogo kuwa open minded msiache hizi negative comments ziwaaminishe kwamba biashara ama kampuni ya Qnet ni magumashi. Kuna wasomi kibao wamemaliza chuo wamo humu, Auditors wa the Big 4, bankers, accountants vijana wadogo tu! Kwani unadhani wao wameona nini?? Hata Kampuni kama Apple, samsung, Tesla, inapata alot of negativity but they still make huge profits so dont let these few negative comments zikuzuie fursa nzuri ya kutengeneza passive income waache wanaobisha wapambane na ajira na small businesses(Mngesoma basi ata Rich Dad Poor Dad na 21st Century Business cha Robert Kiyosaki before spewing all this rubbish)! Nimepata presentations na nafanya mchakato wa kupata iyo hela nijiunge na hii fursa japo mchakato ni mgumu sio siri ila itafahamika tu!
 
Wajinga ndio waliwao.
 
Good morning billionaire!
 
peleka undezi wako huko Qnet .... yaani niache kufanya shughuli zangu halali za kuingiza kipato nianze kupoteza muda wa kufanyia utafiti utapeli wa Qnet ..... wajinga mmebaki wachache sana ndio maana mpo huko Qnet
 
Nashauri tufanye utafiti kwanza wa namna ambayo network marketing inafanya kazi! Network marketing believe it or not is an industry kama ilivyo industry ya mziki, kilimo, uzishaji nakadhalika. It is a legitimate business sema haifanani na biashara tulizozoea na utashi wa biashara tulizozoea hautumiki huku! Me nashauri kila mtu afanye utafiti yakinifu na jaribu kidoogo kuwa open minded msiache hizi negative comments ziwaaminishe kwamba biashara ama kampuni ya Qnet ni magumashi. Kuna wasomi kibao wamemaliza chuo wamo humu, Auditors wa the Big 4, bankers, accountants vijana wadogo tu! Kwani unadhani wao wameona nini?? Hata Kampuni kama Apple, samsung, Tesla, inapata alot of negativity but they still make huge profits so dont let these few negative comments zikuzuie fursa nzuri ya kutengeneza passive income waache wanaobisha wapambane na ajira na small businesses(Mngesoma basi ata Rich Dad Poor Dad na 21st Century Business cha Robert Kiyosaki before spewing all this rubbish)! Nimepata presentations na nafanya mchakato wa kupata iyo hela nijiunge na hii fursa japo mchakato ni mgumu sio siri ila itafahamika tu!
Pole sana mzee...ndo ushalizwa hivyoo..!!
 
Kuna Rafik yangu huwa napenda muuliza vp amepata faida bado analalamika ananetwork ndogo ngoja Leo nimuulize tena
Haa ha ha ha...!! Daah so poa mwanangu jamaa akoo ndo keshapigwaa hivyoo...Yani daah muonee hurumaa tuu maana.. Mil 4 unakuwa mwehu kabisaa...
 
Nashauri tufanye utafiti kwanza wa namna ambayo network marketing inafanya kazi! Network marketing believe it or not is an industry kama ilivyo industry ya mziki, kilimo, uzishaji nakadhalika. It is a legitimate business sema haifanani na biashara tulizozoea na utashi wa biashara tulizozoea hautumiki huku! Me nashauri kila mtu afanye utafiti yakinifu na jaribu kidoogo kuwa open minded msiache hizi negative comments ziwaaminishe kwamba biashara ama kampuni ya Qnet ni magumashi. Kuna wasomi kibao wamemaliza chuo wamo humu, Auditors wa the Big 4, bankers, accountants vijana wadogo tu! Kwani unadhani wao wameona nini?? Hata Kampuni kama Apple, samsung, Tesla, inapata alot of negativity but they still make huge profits so dont let these few negative comments zikuzuie fursa nzuri ya kutengeneza passive income waache wanaobisha wapambane na ajira na small businesses(Mngesoma basi ata Rich Dad Poor Dad na 21st Century Business cha Robert Kiyosaki before spewing all this rubbish)! Nimepata presentations na nafanya mchakato wa kupata iyo hela nijiunge na hii fursa japo mchakato ni mgumu sio siri ila itafahamika tu!
You are Right, but why all these networks business their headquarters located abroad!
Why not tz?
inamaana nyinyi watanzania hamuwezi kuwa network business ya kuuza hata matikiti yanayolimwa tarime,
Kwani lazima Saa au imported products made in China?
Ujinga ni pale unapofanya international businesses bila kujua chimbuko lake na kujiunga na mtaji wa 5millions huo ni ujinga uliovuka mpaka,
its like unacheza kamali, that's not good investment koz risk of being a loser ipo juu sana almost 97% ni mjinga pekee who can take risks of this!
What if hiyo 5m uka invest kwenye ardhi ndan ya tz, let say kilimo cha matikiti then ukatengeneza local network ya watumiaji wa matikit baadae international matikit business network hapo sasa 5m ndo inauwezo kukufanya kuwa billionaire, very interesting! sio kama huko mnakojambajamba!!
 
Humu ndani kuna tapeli hili hapa linaitwa salum mohammed
jamiisoft
namba zake za simu zipo kwenye plofile lake
Jamiisoft 20180112_143944.jpg
 
Saa inauzwa Mil 5..?

Na hiyo Qnet inahisika na nini hasa
Wanawauzia watu WAPUMBAVU vitu tena kwa bei za kuwalangua, Kisha wanakupa na adhabu ya kuwatafutia wateja wengine wapumbavu waje kuibiwa na wao. Na hao unaowaleta wanauziwa saa bei hiyo hiyo au bidhaa nyingine kwa bei ya juu sana na wewe uliyewaleta kwa wingi wao unapata commission.
Kuna majinga na mapumbavu yanaingia kichwa kichwa na kupigwa.

Kuna mtu namuheshimu sana aliniita anishawishi kiingie, kwa kweli moyoni nilimdharau sana kwa upofu wa kumeng'enyua mambo aliouonyesha. Hakutaka hata kunipa nafasi ya kuhoji, nae apigwe tena sana na aliowaimgiza nao waje wamzparamie kwa kiwaingiza mkenge.
 
:D ulijisikia raahaaa kusema "good morning" mchana wa jua kali, inabidi elimu ya pyramidal scheme itolewe wengi mtaumia sana kwa kupenda vitonga
 
Back
Top Bottom