Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Hivi kwanini watu huwa hawasikii ? Kuna thread nyingi sana humu huwa tunawaambia hao jamaa wote wa pyramid schemes na hao qnet ni MATAPELI WA KUTUPWA ...lakin hua hamsikii kabisa ...usawa huu wa huyu jamaa madarakani unampa mtu milioni 5 tena hao jamaa nduguze na gnld na wengineo , si bora mngetukopesha sisi wahitaji jamani kila siku tunaandika thread za kuomba mkopo humu lakin mtu yuko radhi akawape forever living products na jamii ya hao qnet ...yani wote hao wezi tu...sjui forever, sjui gnld, sjui qnet, sjui bitcoin, sjui forex...
Mimi hao wakinijia naishia kuwatukanaga tu.
Umekosea...forex hawapo huko...
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.

Pole kwa kuwa one of their victim! Hawa jamaa ni waongo sana! One of my friend did fall on their trap too! Kabla hajajua kuwa katapeliwa, akataka anipeleke huko! Akaanza nisumbua, Tukutane nkupeleke mahali, Nataka tuwe "Business Partners" Its something huge! Nkimuliza whats that? Hataki kusema! Nkaona isiwe shida, siku moja nkatoka kazini akanipigia simu nkamwambia lets meet! Akanielekeza Office ya kukutana, As unaelekea Mawasiliano kama unatokea Mwenge, unakata kushoto kama unaenda Sinza Makaburini, then Kuna kama ghorofa jipya linajengwa, ofisi yao iko opposite na hilo jengo! Nafika kila anyenisalimia ananambia "good morning".. I was like "what the https://jamii.app/JFUserGuide guys, Its almost 7PM.." Wakaningiza kwenye ofisi, Kisha akaja dada na jamaa angu wakaanza nsomesha! Ki ukweli kilichonifanya niwasikilize ni heshima na urafiki nliokuwa nao na mshkaji.. Nlijisikia vibaya kusikia kuwa mshkaji kashalipa 4.4M.. I looked at him with a face of "You've been fucked up dude".... Yule dada bila kujua kuwa nlishawahi kumuona Morroco BRT akigombania gari za Kimara, ati ananidanganya kaacha kazi CRDB, She was a Bank Operations Manager and She was getting 3.5M as Net salary, ila kaacha vinye QNet inalipa... Na ameshafanikiwa nunua Her new ride (Of her dream... Nissan Juke)...

Nliondoka pale na hasira za kucheleweshwa kwangu, plus foleni nlokutana nayo barabarani... Baada ya mwez mshkaji wangu anakuja analia hajarudisha hata 100 kwenye ile 4.4M yakeee alotoa... Mbaya zaid alichagua kifurushi cha travel discounts, na hawana hotel hapa bongo so mpaka akisafiri majuuu! Dah! Nlicheka sanaaaa.... Nkamwambia My friend, there is no such an easy money! You of all the people should have know that!
 
Pole kwa kuwa one of their victim! Hawa jamaa ni waongo sana! One of my friend did fall on their trap too! Kabla hajajua kuwa katapeliwa, akataka anipeleke huko! Akaanza nisumbua, Tukutane nkupeleke mahali, Nataka tuwe "Business Partners" Its something huge! Nkimuliza whats that? Hataki kusema! Nkaona isiwe shida, siku moja nkatoka kazini akanipigia simu nkamwambia lets meet! Akanielekeza Office ya kukutana, As unaelekea Mawasiliano kama unatokea Mwenge, unakata kushoto kama unaenda Sinza Makaburini, then Kuna kama ghorofa jipya linajengwa, ofisi yao iko opposite na hilo jengo! Nafika kila anyenisalimia ananambia "good morning".. I was like "what the **** guys, Its almost 7PM.." Wakaningiza kwenye ofisi, Kisha akaja dada na jamaa angu wakaanza nsomesha! Ki ukweli kilichonifanya niwasikilize ni heshima na urafiki nliokuwa nao na mshkaji.. Nlijisikia vibaya kusikia kuwa mshkaji kashalipa 4.4M.. I looked at him with a face of "You've been fucked up dude".... Yule dada bila kujua kuwa nlishawahi kumuona Morroco BRT akigombania gari za Kimara, ati ananidanganya kaacha kazi CRDB, She was a Bank Operations Manager and She was getting 3.5M as Net salary, ila kaacha vinye QNet inalipa... Na ameshafanikiwa nunua Her new ride (Of her dream... Nissan Juke)...

Kuunguza account kunatokana na kutokuwa na uelewa wa kuhusu hiyo biashara ,japo kuunguza inaweza kukufanya akili ikae sawa na urudie kusoma kwa umakini.

Mtu mwenye bidii ya kusoma na kufanyia mazoezi yale aliyosoma na asiyependa mteremko akafanya forex yeye mwenyewe anaweza kufanikiwa.

Japo forex sio rahisi Ila inawezekana kuifahamu kama una nia na wala si utapeli ,japo matapeli wanaweza kujiingiza ktk forex.
Tatizo la hizi network zote ni kutoka nje, utaskia kanada, America hakuna cha msoma au singida headquarters zake
 
Tatizo la hizi network zote ni kutoka nje, utaskia kanada, America hakuna cha msoma au singida headquarters zake

Watu wanabadilisha maisha yao mkuu si unajua hii ni phase ya information.. anaepata information mapema na kuzifanyia kazi ndie anaetoboa.
 
Utawaonea huruma kwa nini?
Kivip wanavyoangaika kupiga simu kuelekeza watu wengi wageni wanaokuja hawaelewi nn kinachoendelea wanakuja kujua wakishaingia ndani wakishajua wengi wanasepa sio huruma iyo!!
Nimecheka sana.
Na mimi nilialikwa bwana

Karibu na kwa Shigongo au sio?

Tafuta nyingine halafu nipe mimi, nitakuonesha namna ya kuzi double katika wiki tu.

Wanavyoongea utadhani rahisi vile.
 
Hawa majamaa wana ofs mwanza ipo mafichoni sana milimani kona ya bwiru kama unaenda kilimahewa....wamempiga jamaa yangu...ameacha kazi ya mshahara wa lak saba, akajiunga na hawa majamaa..ila nimekuja gundua jamaa amekuwa frustrated sana....nahs akli imemrudia akiwa tayar keshapigwa hasara ya kufa mtu....aliniita kwa usiri mkubwa nikaenda, nikapigwa attention ya kufa mtu mixer na gdmorning za hatar....nikaonyeshwa dogo mmoja nimesoma nae amejiunga na majamaa now amenunua range rover ya 300ml, na alidrop versity IFM ili apate kiingilio...nikapata matumaini ya mafanikio hatar... Bahat nzur huwa sifanyi kitu bila kumhusisha sir God...nikajifungia ndan ili nipate go ahead ya Mwenyezi Mungu...cha kushangaza Mungu aka reject nisiingie kwenye business... Nikaumia moyoni maana nilifkr Mungu kanifungulia njia, na nkahsi Mungu hanitakii mema....ila kwa vile Mungu amenisaidia mambo mengi nikaapa kutoingia kwny business japo nilikuwa nataman kweli....ofcn kwao niliambiwa nisimwambie mtu, na sikuambiwa bei ya product... Badae nikaamua kuingia jamii forum kuisakua hii Qnet....ndo nikakuta uozo mkubwa kama huu....dah nilishkuru Mungu sana ...kesho yake nikawatumia text kwamba totally nimeahrisha hyo biashara....
 
Kwani ulivyoingia uliambiwa utapata iyo pesa mara 2 hata kama hujafanya kazi?? Ulipitia presentation zote ukaelewa biashara au uliingiaje.....Hakuna pesa za bure hata siku moja katika Dunia hii..Lazima ustruggle ndo uipate..Kama wewe uliingia ukijua Qnet ni kama Desi au D9 kwamba unaweka pesa then unapata pesa bila kuisotea basi ulipotea njia,utaishia kusema umu kwenye mitandao kwamba Qnet ni matapeli lakini mwisho wa cku utarudi tu na utafanyakazi mana Qnet ni Life time business...Utaondoka kimwili lakini kiuhalisia bado uko...TC yako inakungoja ukaitendee haki...
Qnet sio Pyramid scheme eti waliotangulia ndo wananufaika, mfano mzuri ni kama wewe umetangulia kuingia lakini kwa sababu ya kutokuelewa biashara umeamua kutulia na kuanza kuandika ujinga kwenye mitandao, sasa kuna mwenzio ataingia kesho ataielewa biashara atafanya kazi na kugundua kwamba Qnet ndo biashara aliyotakiwa kuifanya miaka 3 iliyopita ila hakupata iyo fursa......If you look for Negativity, You will get negativity and Viceversa is true....Muwe na mchana mwema......Good morning
Qnet apologist mkuu una bidhaa gani unauza za qnet au unasubiria commision ya kupeleka mtu
 
Pole kwa kuwa one of their victim! Hawa jamaa ni waongo sana! One of my friend did fall on their trap too! Kabla hajajua kuwa katapeliwa, akataka anipeleke huko! Akaanza nisumbua, Tukutane nkupeleke mahali, Nataka tuwe "Business Partners" Its something huge! Nkimuliza whats that? Hataki kusema! Nkaona isiwe shida, siku moja nkatoka kazini akanipigia simu nkamwambia lets meet! Akanielekeza Office ya kukutana, As unaelekea Mawasiliano kama unatokea Mwenge, unakata kushoto kama unaenda Sinza Makaburini, then Kuna kama ghorofa jipya linajengwa, ofisi yao iko opposite na hilo jengo! Nafika kila anyenisalimia ananambia "good morning".. I was like "what the **** guys, Its almost 7PM.." Wakaningiza kwenye ofisi, Kisha akaja dada na jamaa angu wakaanza nsomesha! Ki ukweli kilichonifanya niwasikilize ni heshima na urafiki nliokuwa nao na mshkaji.. Nlijisikia vibaya kusikia kuwa mshkaji kashalipa 4.4M.. I looked at him with a face of "You've been fucked up dude".... Yule dada bila kujua kuwa nlishawahi kumuona Morroco BRT akigombania gari za Kimara, ati ananidanganya kaacha kazi CRDB, She was a Bank Operations Manager and She was getting 3.5M as Net salary, ila kaacha vinye QNet inalipa... Na ameshafanikiwa nunua Her new ride (Of her dream... Nissan Juke)...

Nliondoka pale na hasira za kucheleweshwa kwangu, plus foleni nlokutana nayo barabarani... Baada ya mwez mshkaji wangu anakuja analia hajarudisha hata 100 kwenye ile 4.4M yakeee alotoa... Mbaya zaid alichagua kifurushi cha travel discounts, na hawana hotel hapa bongo so mpaka akisafiri majuuu! Dah! Nlicheka sanaaaa.... Nkamwambia My friend, there is no such an easy money! You of all the people should have know that!
Jamaa yangu naye alinipeleka huko kwa matapelinwa qnet niliona kanikosea heshima ila niliamua vumilia huku nimemwacha mgen ananisubiria ubungo yeye aliniambia kuna project nataka nikushikirishe sababu naye yupo i.ct nikajua kuna system ya kutengeneza nilivohubiriwa ujinga wao sikurudi tena
 
Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuhusu issue za business ila yeye yuko mkoani sasa akaniambia kuna mtu atanikutanisha naye yuko makumbusho stand kuanzia hapo moyo ukashtuka, kwa sababu nilishasoma huu uzi kuhusu utapeli wao nikajifanya siwajui ila nikamwambia nisha invest kwenye mambo mengine kwa hio sina muda huo. Alikuwa moto sana enzi hizo tena akawa anajiita bilionea na kuvaa masuti mara nyingi ili kuimpress watu tokea siku hio hakunitafuta tena na sasa hivi simuoni hata online whatsapp sijui ashapigwa . Rafiki zangu hakuna pesa za burebure kiasi hicho mnatajirisha watu bure tu.
 
Back
Top Bottom