QN; Gharama Halisi za Kuimport Gari Nchini

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,854
2,000
Asalam wanajamvi
Nimejaribu kufunuafunua baadhi ya website za TRA na kukutana na hii kitu,

EEA and JAAI inspection must be done in Japan before importing the car to Tanzania
TAX RATES
C.CImport DutyExcise dutyExtra Depreciation dutyVATDepreciation duty (2002yr)
0-100025%-20%18%75%
1001-200025%5%20%18%75%
2001 and above25%10%20%18%75%
Pick ups25%0%0%18%75%
Trucks(5tons-18.5tons)10%0%0%18%75%
Trucks(above 18.5tons)0%0%0%18%75%
Tractors (trucks for pulling semi-trailers)0%0%0%18%75%
Buses (from 10 passengers)25%0%0%18%75%
Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers25%0%0%20%75%

napata kigugumizi kwenye kuelewa hili jedwali,..
Naomba msaada wenu kwa mwenye uelewa, Je nikihitaji kuagiza gari lenye CC 2000 la mwaka 2004 with CIF price of US$ 7500,ni kiasi gani nitakachotozwa kwa ujumla na mamlaka ya mapato..
Msaada please,its urgent.
 
OPTIMISTIC

Senior Member
Mar 12, 2011
125
195

It is roughly 75% of cif, if you add cif you probably get the total cost of your car excl registration and insuarance
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,759
2,000
Da na hii dola 1750 Mhhh,Hapo mkuu andaa Dola 5,000 itatosha kufanya mambo yoye dat means gari utalinunua USD12,500,Je gari gani hiyo mkuu hiyo uanyoagiza tunaweza shauri hapo
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,694
2,000
Umepotosha sana ukweli. hakuna kitu kama hicho kwenye website ya TRA. Kodi ulizotaja sio za kweli. Depreciattion uliyosema sio sahihi. kama hujui kitu uliza. Usiwe wewe daktarti, mhasibu, fundi wa magari na kadhalika. Kodi ya gari inatozwa kulingana na thamani halisi uliyolipia wakati wa kuingiza gari, hata hito wataalamu wa WTO(World Trade Organization) walikaa na kwa ushauriano na mawaziri wa nchi zinazoendelea wanachama wa WTO wakakubaliana kuwa kwa kuwa mapato ya serikali kwa nchi zinzoendelea yanatokana na kodi za kuingiza bidha nchini, magari yakiwemo na kwa kuwa kuna udanganyifu mkubwa wa kutoa taarifa za thamani ya magari wakati wa kuingiza magari iwepo formula maalumu ya itakayotumika kutafuta thamani ya magari hayo. Formula hiyo ilitengenezwa na naiambatanisha hapa. Jionee mwenyewe.
 
Attachments

 • File size
  66.5 KB
  Views
  180
 • File size
  259.5 KB
  Views
  262

Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
3,107
2,000
Umepotosha sana ukweli. hakuna kitu kama hicho kwenye website ya TRA. Kodi ulizotaja sio za kweli. Depreciattion uliyosema sio sahihi. kama hujui kitu uliza. Usiwe wewe daktarti, mhasibu, fundi wa magari na kadhalika. Kodi ya gari inatozwa kulingana na thamani halisi uliyolipia wakati wa kuingiza gari, hata hito wataalamu wa WTO(World Trade Organization) walikaa na kwa ushauriano na mawaziri wa nchi zinazoendelea wanachama wa WTO wakakubaliana kuwa kwa kuwa mapato ya serikali kwa nchi zinzoendelea yanatokana na kodi za kuingiza bidha nchini, magari yakiwemo na kwa kuwa kuna udanganyifu mkubwa wa kutoa taarifa za thamani ya magari wakati wa kuingiza magari iwepo formula maalumu ya itakayotumika kutafuta thamani ya magari hayo. Formula hiyo ilitengenezwa na naiambatanisha hapa. Jionee mwenyewe.

Hivi baada ya kuingiza formula zao hizi badoTRA kale kamtindo ka ku uplift bado wanako?
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,613
2,000
Hivi baada ya kuingiza formula zao hizi badoTRA kale kamtindo ka ku uplift bado wanako?
Hizo fomula ndizo wanazotumia ku-uplift! Thamani ya gari lililotumika linakokotolewa kutokea kwenye bei ya sokoni ya sasa ya gari kama hilo. Hata hivyo bado kuna mwanya wa watu 'ku-manage' hiyo kodi hasa kama kwa kutumia fomula ya TRA gari inakuwa na value ndogo kuliko uliyonunulia.
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,694
2,000
Hizo fomula ndizo wanazotumia ku-uplift! Thamani ya gari lililotumika linakokotolewa kutokea kwenye bei ya sokoni ya sasa ya gari kama hilo. Hata hivyo bado kuna mwanya wa watu 'ku-manage' hiyo kodi hasa kama kwa kutumia fomula ya TRA gari inakuwa na value ndogo kuliko uliyonunulia.
Uko sawa. Bei za kwenye formula ndio minimum value zao hivyo kama invoice yako ni kubwa watatumia invoice yako, lakini kama ni ndogo watatumia formula. Cha maana kingine ni kuwa makini tu na matumizi ya hiyo formula na pia kudownload bei mpya kutoka kwenye tovuti ya TRA. Bei hizo zinarekebishwa na items mpya kuongezwa kila mara.
 
 • Thanks
Reactions: SMU

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom