Qatar world football finale/finalists: religion concepts revealed?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,794
Kabumbu ndio dini mpya ya dunia! Dini isiyomtambua Mungu mkuu. Dini ya mpinga Kristo na dini ya mpinga Mungu mkuu. Dini inayoabudiwa na kufadhiliwa na wapagani wote duniani

Dini ya mashoga Duniani
Dini ya wauza unga Duniani
Dini ya wauza silaha duniani
Dini ya wachonganishi wa dunia
Dini ya mafioso wa dunia
Dini ya mabwana vita wa dunia nknk

Football ni satanism na ni freemason kwa asilimia 100 Qatar wanapata wapi kuyahuisha haya mashindano na ukamilifu wa imani wa dini ya Kiislam? Je, wako compromised bila kujijua?

 
Nimeona Elon Musk katweet kuhusu Kombe la Dunia. Kama uko sahihi dini hii ina waumini wengi kuliko dini zingine. Imagine watu bilioni 1 walifuatilia live sherehe za ufunguzi wa World Cup 2022 ,ni kiongozi yupi wa dini anaweza kukusanya umati Kama huo?
 
Back
Top Bottom