Qaswida ni muziki au sio muziki?

Mkuu,

Kwa ufahamu wangu, Kaswida ni aina ya muziki (genre) ya dini (gospel) inayoimbwa na waislam.

Kaka ...
"Hekma" na ukongwe wako vimenifanya nisikupe harsh-counterargument".
Muziki kama muziki hauwi defined kwa dini..Rather an "artistic form of auditory communication" involving instrumental or vocal tones in a well arranged and continuous manner...!
Hata hivyo nadhani muuliza swali kuna kitu alitaka kujua,;ni bahati mbaya hakujua namna ya kuliweka swali lake.
Kwa Ufupi, Kwaswida (Qaswida) ni genre ya muziki, ikirandana na Classical/Baroque genre.
 
Neno Qaswida (قصيدة)maana yake ni nyimbo.
Mleta mada bila ya shaka alitaka kujua uhalali wa muziki katika uislam. Bila ya shaka uislam unapinga na kuharamisha muziki, iwe inaimbwa kwa kuegemezea kwenye dini au vyovyote vile.
Na wale wote wanaoimba hizo nyimbo na kutia ala za muziki wanafanya makosa.
kaka Hongera Ilo ndio lengo langu
 
Wakuu,
Tupieni angalau video mbili tatu maarufu toka Afrika Mashariki tuweze elewa ni muziki au la .
 
Uislamu upinge mziki au usipinge mziki wewe askari muoga inakuusu nn?nenda kalinde acha uoga.
 
Neno Qaswida (قصيدة)maana yake ni nyimbo.
Mleta mada bila ya shaka alitaka kujua uhalali wa muziki katika uislam. Bila ya shaka uislam unapinga na kuharamisha muziki, iwe inaimbwa kwa kuegemezea kwenye dini au vyovyote vile.
Na wale wote wanaoimba hizo nyimbo na kutia ala za muziki wanafanya makosa.
Maa shaa Allah, umejibu vizuri sana na uzuri muuliza swali pia ameelewa.
 
Back
Top Bottom