Qaddafi’s Son Paid Mariah Carey $1M To Sing Four Songs

Ghadfi anaongoza nchi kama ni familia yake,
kila kitu anafanya maamuzi kama ya baba ndani ya nyumba
hakuna bunge wa uchaguzi wa aina yeyote ile
hakuna katiba wala constitutional yeyote ile
leo akiamuka na kusema watu wote wasafirishwa kwenda kenya just for tour watakwenda
akiamuka na kusema leo hakuna kufanya kitu fulani na kweli hawatafanya..
so sioni ajabu kama alilipa kiasi hicho cha pesa kwani hayo ni maelewano
 
Back
Top Bottom