Qa aliye tayar jaman

Naomba kubadlishana kituo cha kaz, kwa aliyeko moshi arusha manyara na almashaur zake mim nipo almashaur ya musoma
"Qa" umekosea au? Maana umeanza katika kichwa cha post na katika post yenyewe umerudia "qa".
Mwalimu hebu tuwe serious jamani. Haya mambo ya kupuuzia vitu vidogo kama hivi vinashusha sana hadhi ya walimu na ualimu wenyewe. Sasa hapo mwanafunzi wako wa kidato cha pili aandike namna gani?
Mbaya zaidi unaulizwa idara gani unajibu kirahisi tu "sekondari"! Kama hali ni hii kwa nini tushangae watoto kuchora watu wakipiga push-ups katika mitihani yake ya mwisho?
Baada ya haya tafuta uzi maalumu humu ndani unaojihusisha na waalimu wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi.
 
Mkuu umeongea point haswa,binafisi walimu wa siku hizi ndo chanzo cha matokeo mabaya ya watoto wetu,hebu fikilia mwalimu anakuandikia "xaxa" akimaanisha sasa, hii si majanga,wanajidai wako bize.
 
Ulitakata niandike vipi labda kuhusu idara maana nimesema idara ni sekondari. Sawa skujua kama kuandika vifupisho haviruhusiwi na tayari nimerekebisha. Daaaaaa kila binadam anakosea na haina maana kua kuandika kifupi humu kunachangia mwanafunzi kufeli. Maana najua jinsi ya kufundisha.
 
Lengo ni kupata wabkubadilishana nae kituo cha kazi na si kuangalia jinsi mtu anavyoandka tangazo. Ifike mahala tujue kutofautisha mambo na si kukuza jambo dogo.
 
M
Ulitakata niandike vipi labda kuhusu idara maana nimesema idara ni sekondari. Sawa skujua kama kuandika vifupisho haviruhusiwi na tayari nimerekebisha. Daaaaaa kila binadam anakosea na haina maana kua kuandika kifupi humu kunachangia mwanafunzi kufeli. Maana najua jinsi ya kufundisha.
Mwendo kasi. Ila tutafika tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom