Q NET yarudi kivingine sasa, itakua BF Suma. Watanzania hakuna pesa rahisi jamani, fanyeni kazi!

Yani hii Nchi wajinga hawaishi tu maana ni mwendokasi wa bandika bandua matapeli,bandua DECI bandika Refaro Africa,bandua Refaro bandika forex ya Ontario bandua forex bandika Mr kuku,bandua kuku bandika Qnet,bandua Qnet bandika BF suma.

Upande wa kidini hivo hivo,bandua Mwasapile wa loliondo bandika Misukule wa ubungo,bandua misukule bandika arise and shine kanyaga mafuta kula cake upate nyumba na magar chap chap,naye naona atabanduka soon kuna mtu anakuja kasi hapo mpakani Mwenge yeye ana uvumba na manemane yani unanukia utajiri tu
Dini imani ya mtu mkuu
 
Hahaha Jamii Forums Burudani Sanaa.

Ikipita Siku Sijaingia Humu Nahisi Kuumwa.

Hahaha eti mzigo ule ule bega jingine (watu maneno sana)
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa jua fursa ndo wewe .


Fursa ni kitu kilicho jificha.
 
Back
Top Bottom