Q chillah anajifunza Kiinglish Nini?

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Asee na sikiliza East africa radio, Q chillah anahojiwa kwa kiswahili anaijbu kiinglish, English yenyewe ya kindagaten..

Hivi huyu jamaa ana matatizo gani siku hizi? toka ameingia kwenye taarabu amekuwa na swaga za ajabu ajabu sana hadi ana kera.
 
Huwa wanachanganya lugha mpaka anajikuta katoka nje ya alichoulizwa. "Uno waramseyin" kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom