mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 187
Duh hawa wasanii wetu sasa huyu kama mziki umemshinda angerudi tu huko Mwanza akatulia kwao atajachomwa moto hapa iwe shida kwa jamaa zake
Ngoja q chilla aibe power windows kwenye magari ya msafara wa raisi ndipo watashtuka kidogoSerikali legelege itasumbuliwa hata na wasanii..........
Pale MC wanalinda magari na sio vitu vilivyo kwenye magari ndio maana wako getini na pia ndugu zanguni hilo suala la kuibia vitu ndani hapo MC ni la siku nyingi na watu wengi wametoa onyo hapa JF kuwa musiache vitu vyenu vya thamani kwenye magari yenu pale MC,ukiweka gari lako usalama wa gari ni juu yako mwenyewe
kwani q chief kwao Mwanza au Magomeni? Nasikia baba yake ni tajiri sana zamani alikuwa mchezaji wa Yanga ila siku hizi anafanya biashara kati ya Brazil na MagomeniDuh hawa wasanii wetu sasa huyu kama mziki umemshinda angerudi tu huko Mwanza akatulia kwao atajachomwa moto hapa iwe shida kwa jamaa zake
Chief Kiumbe naye pia ni mwizi, tena alikuwa ni mume wa Q ChiefWengine tumeanza kumsikia akijihusisha na izo issue za wizi tangu mwaka 2004 akishirikiana na bosi wake
Jaman hebu nyoosheni habari msichafue watu kwa majina ya kupachikana kulingana na matukio
Mie naona si MC wala polisi hawachukui hatua, bora akamatwe huyo Q-chiller apewe kipigo na sisi wana JF ili iwe ni onyo, ama kama inashindikana tumpatie kesi kama ya wale jamaa wa congo waliomtafunia mkuu wa kaya vyake
kuna uwezekano hizo habari zina ukweli. nakumbuka Mike Tee msanii wa bongo fleva aliwahi kuibiwa vitu kadhaa kwenye gari yake nadhani ilikuwa vitara na alimtuhumu Q chillah kuhusika na wizi huo, sijui iliishia wapi. inawezekana lisemwalo lipo.
<br />
<br />
KHAAAAA YAMEKUWA HAYA KILA MT AKIJAA KILUVYA NA KINA QCHILA WANAHAMIA HUKOHUKO