Q Chief ana uhusiano gani na wezi wa magari?

Duh hawa wasanii wetu sasa huyu kama mziki umemshinda angerudi tu huko Mwanza akatulia kwao atajachomwa moto hapa iwe shida kwa jamaa zake
 
Asee hawa jamaa wanamtandao mrefu, yupo rafki yangu wapangaji wao wameibiwa milion 5 nje ya geti lao jumamosiam jamaa waliwafwatilia toka supermarket mpaka nymbani
 
Hao MC kama wajua QChief na timu yake ndio wanaibia wateja hapo kwa nini wsiwakamate na kuwapiga marufuku kukanya maeneo hayo au na hao walinzi ndio wanakula pamoja nao
 
Pale MC wanalinda magari na sio vitu vilivyo kwenye magari ndio maana wako getini na pia ndugu zanguni hilo suala la kuibia vitu ndani hapo MC ni la siku nyingi na watu wengi wametoa onyo hapa JF kuwa musiache vitu vyenu vya thamani kwenye magari yenu pale MC,ukiweka gari lako usalama wa gari ni juu yako mwenyewe

Sasa utalindaje gari nusu nusu wakati wateja wanakwenda ndani kwa ajili ya biashara? Hiyo inaonyesha dhahiri kwamba ni dili za hao askari na wezi lakini dawa ya MC ni kuwasusa tu - yaani kuitisha mgomo wa ukweli wa wiki nzima uone kama hawatawakamata hao wezi na vibaka wote hapo Mlimani.

Lakini sisi kama kawaida yetu tunalalamika tu bila ya kufanya lo lote.
 
Duh hawa wasanii wetu sasa huyu kama mziki umemshinda angerudi tu huko Mwanza akatulia kwao atajachomwa moto hapa iwe shida kwa jamaa zake
kwani q chief kwao Mwanza au Magomeni? Nasikia baba yake ni tajiri sana zamani alikuwa mchezaji wa Yanga ila siku hizi anafanya biashara kati ya Brazil na Magomeni
 
kuna uwezekano hizo habari zina ukweli. nakumbuka Mike Tee msanii wa bongo fleva aliwahi kuibiwa vitu kadhaa kwenye gari yake nadhani ilikuwa vitara na alimtuhumu Q chillah kuhusika na wizi huo, sijui iliishia wapi. inawezekana lisemwalo lipo.
 
Mie naona si MC wala polisi hawachukui hatua, bora akamatwe huyo Q-chiller apewe kipigo na sisi wana JF ili iwe ni onyo, ama kama inashindikana tumpatie kesi kama ya wale jamaa wa congo waliomtafunia mkuu wa kaya vyake
 
now ur talking
 
kuna uwezekano hizo habari zina ukweli. nakumbuka Mike Tee msanii wa bongo fleva aliwahi kuibiwa vitu kadhaa kwenye gari yake nadhani ilikuwa vitara na alimtuhumu Q chillah kuhusika na wizi huo, sijui iliishia wapi. inawezekana lisemwalo lipo.

Sahihisho: Hakuwa Mike Tee alikuwa anaitwa MR PAUL msanii wa mwanzo mwanzo wa R&B. Sasa hivi anaishi Australia ameoa mzungu na ana watoto wawili.
 
Wizi ni tabia kamanda! wala haina uhusiano na kuwa celebrity. Au unasubiri uambiwe kaiba maiki jukwaani?
 
Back
Top Bottom