PyeongChang 2018 : Tanzania Hatushiriki Olimpiki ya Mwaka Huu

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
604
489
Kwa masikitiko yangu makubwa inaonekana nchi yetu hatutashiriki michuano ya Olimpiki ya mwaka huu mwezi February yatakayofanyika Korea Kusini (Olympic Winter).

Nina fahamu tunayo tume ya olimpiki, huu ni uzembe wa hali ya juu kuwahi kutokea, michuano hii ukiachilia kushiriki tu pia hutoa fursa kujitangaza nchi yetu kwa wenzetu.

Mheshimiwa waziri wa michezo Baba Mwakyembe na naibu waziri wake Dada Shonza naomba muangalie na kufatilia kama kua uwezekano wa kushiriki in last minutes.
 
Hivi wenzetu korea kaskazini si wameghaili!!!

Tz tuna timu nzuri kweli za kutuwakilisha!!!
 
Back
Top Bottom