Pweza Pauls atabiri matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010! Upinzani oyeeee!

Status
Not open for further replies.
Kama ingekuwa kweli ningefurahi maana lol watu wangekoma. Saa hizi wa2 wangekuwa wako ICU kwa pessure.
 
jamani na sheikh yahya naye kaja na pweza wake matokeo yake ni CCM.Kazi kweli kweli...2010
 

Attachments

  • 35224_411553985063_607965063_4900149_5936414_n.jpg
    35224_411553985063_607965063_4900149_5936414_n.jpg
    30.4 KB · Views: 34
Ahahahahaa-pressure zimepanda juu. Sisi tulishaambiwa na shehe yahya hivyo hatuna waswasi
 
Itabidi kwanza Pweza Paulo aende tume ya uchaguzi atembeze mkong'oto - hawatamweza kwani ana ngumi na mateke mengi - ili waache tabia ya kucheza na hizo namba kwa manufaa ya mabosi wao.
 
pweza gani huyo..pepo tu hilo...nikilikuta mimi nalikatakata kwenye kisufuria napika supu ya pweza hadi ikome....futilia mbali uchawi wa kichina huo..
 
Photoshop at work!
men_at_work_sign.gif

:humble::plane::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
The Following 5 Users Say Thank You to Masanilo For This Useful Post:
Da Womanizer (Today), Invisible (17th July 2010), King of Kings (15th July 2010), Nyunyu (15th July 2010), rmashauri (15th July 2010)​
Nyie mnaogonga thanks kwa reply ambazo ni craps ndo mnawapa vichwa hao mabwana wadogo!:angry:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom