Pweza Pauls atabiri matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010! Upinzani oyeeee!

Status
Not open for further replies.

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79






CCM safari hii wanakazi! Itakula kwao!:A S 39:
 

Attachments

  • CCM-CUF-General election 2010.JPG
    CCM-CUF-General election 2010.JPG
    55.2 KB · Views: 99
  • CCM-CHADEMA-General election 2010-.JPG
    CCM-CHADEMA-General election 2010-.JPG
    54.7 KB · Views: 78
Mmmh, kweli ni hivo? Nani alikwenda "kumhoji" huyo pweza jamani? Muwe wakweli.
 
:humble::plane::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
 
:humble::plane::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
whatever!
lakini acha chuki binafsi!:A S-eek:
 
Pape,
Acha hasira mkuu maana ni wazi kabisa kuwa hapo bendera zimepachikwa kwenye bendera za timu za mataifa ambayo yalihusishwa na uchawi wa huyu pweza. So it is an obvious photoshop.
so, what is your point?:pound:
 
Mwanadamu anakula viumbe vya ajabu sana, bora na ngombe anakula nyasi tuu
 
Mkuu Pape,

Hakuna haja ya kutokwa mapovu!!! Hii mbona ni wazi tuou kaka!!!

Ngoma zimebandikwa mbona ni wazi tu......
 
Wakuu yule Pweza mtabiri Paul aliyejipatia umaarufu mkubwa katika kutabiri games za Kombe la dunia sasa kaibukia kwenye mambo ya siasa kwa kututabiria uchaguzi wetu mkuu 2010. No comment for now.

Pweza Paul akitabiri uchaguzi Mkuu wa TZ.JPG
 
Wapendwa nashauri tujitahidi kuepuka kuwa Drowned na imani ya hivi vitu!!. Tukiruhusu kupanga mipango yetu kwa kuzingatia matokeo ya mambo kama hayo au yanayofanana na hayo( Shekh Yahaya) Tutakuwa tumekwisha, Na huwa ni ngumu sana kuondoa akilini imani za hayo mambo!!. Tukae chonjo watanzania!! Lets base our decisions on well researched scientific facts!!!
 
Mkuu big up! Tatizo ni kuwa wadau hapa hawajui jokes.Utani si lazima uwe na ukweli.Na hao wanaokuletea watakuwa haohao wa CHE CHE MEE!Anyway it's a great creative work you have presented.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom