Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

Huko kibiti kila kukicha mauaji, mkulu inabidi atafakar kwa kina namnanya kutatua hilo tatizo
 
Jeshi la polisi na viongozi acheni show off huu sio wakati wa kutaka sifa au kutoa kauli za vitisho maana hao watu wanatisha kuliko vitisho vyenyewe, tangazeni hali ya hatari Kibiti kisha vyombo vyote vya ulinzi viweke kambi huko hali tete! Kufumba macho sio dawa ya kukwepa ngumi ya uso.
 
hii sasa sio hali ya kuinyamazia, hawa watu wasiojulikana wanazidi speed serikali, maana wanaongeza idadi ya kuua...
kuna ujumbe unaletwa na mauaji haya, labda mpaka ueleweke ndio tutaweza kupambana nao..
Naamini kabisa askari wanafahamu huu mchezo.
 
Serikali hapa inaonekana haipo serious, haiwezekani kila siku watu wanaendelea kufa tu hata hatua za dharura hawachukui SO SAD.

Innalillah wainna illayh rajiun
 
NI MUDA WA KUITANGAZA KIBITI KUWA JANGA LA KITAIFA...HII NI ZAIDI YA UASI SASA
 
Back
Top Bottom