Pwani: Watuhumiwa 9 wale wa ‘tuma hiyo hela kwenye namba hii’ wakamatwa

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli kwa kutumia simu za mkononi.

Aidha watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na simu 13 za tochi na smart 4 na laini 22 za kampuni mbalimbali pamoja na orodha ya namba ambazo wanadhaniwa kuwa walitaka kuwatapeli na waliowatapeli.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 13, mwaka huu majira ya saa nane mchana katika kata ya Zinga, tarafa ya Yombo wilayani Bagamoyo
 
Hapa juzi kati posho za buku7 zilipunguzwa hadi buku2 na ndiyo hizi ' ile hela tuma kwenye mamba hii' zilizidi. Ni misukule ya chakubanga ndiyo ilibuni hii mbinu.
 
Waangalie namba hii pia 0621070098 inayoomba pesa itumwe kwenye namba hii: 0756776325
 
Tatizo wapo wengi, mimi nadhani hawa waliopatikana wapewe kibano cha mwaka ili wale wengine wasithubutu kurudia huu mchezo
 
Afadhali, juzi eti wamenitumia hako ka meseji ka hovyo saa kumi ya usiku,........ Nilichomjibu yule tapeli ataenda simulia wenzie

Halafu mengi yanatumia mtandao wa Voda,
 
Nyingine hizi hapa wawashughulikie pia

Screenshot_20190814-210346.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20190814-210346.jpeg
    Screenshot_20190814-210346.jpeg
    39.8 KB · Views: 12
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli kwa kutumia simu za mkononi.

Aidha watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na simu 13 za tochi na smart 4 na laini 22 za kampuni mbalimbali pamoja na orodha ya namba ambazo wanadhaniwa kuwa walitaka kuwatapeli na waliowatapeli.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 13, mwaka huu majira ya saa nane mchana katika kata ya Zinga, tarafa ya Yombo wilayani Bagamoyo

Mbona wengine huwa wanapigwa picha na kuwekwa hadharani, kwanini nao tusiwaone ili tuwapishe mbali kama Masoud
 
Afadhali, juzi eti wamenitumia hako ka meseji ka hovyo saa kumi ya usiku,........ Nilichomjibu yule tapeli ataenda simulia wenzie

Halafu mengi yanatumia mtandao wa Voda,
kupoteza muda wa kujibu ni kumkomoa huyo mwizi (ambaye kwake majibu kama hayo ni cost of doing business..) au kupoteza muda wako na sms yako ?
 
Huwa hawana muda wa kusoma sms.
Wao wakishatupia ndoano majini, wanasubiri chambo kicheze wavute. Hata ukiwapigia muda wa kukujibu hawana. Ogopa sn tapeli.
 
Exactly my point..., kuwajibu ni kupoteza muda wako.., yaani wanakuwa wamefanikiwa kuiba sekunde za muda wako...
 
f9a547746f86c9a62d42b04cd29e4fd4

JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli kwa kutumia simu za mkononi.

Aidha watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na simu 13 za tochi na smart 4 na laini 22 za kampuni mbalimbali pamoja na orodha ya namba ambazo wanadhaniwa kuwa walitaka kuwatapeli na waliowatapeli.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 13, mwaka huu majira ya saa nane mchana katika kata ya Zinga, tarafa ya Yombo wilayani Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom