Pwani: Polisi wakamata watu wawili kwa kukutwa na mali za wizi, wakataa Misemo ya Wahenga

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Polisi wamewakamata wakazi wawili mkoani humo Dorith Urassa na Filbert Lymo kwa kukutwa na mali za wizi, pia wapo wengine wawili wakazi Kimara jijini Dar wanatafutwa kwa tuhuma za wizi

Kamanda wa polisi mkoani humo Jonathan Shana alisema walikuta nyumbani kwa bwana Lymo kuna mali nyingi sana za wizi ikiwamo pikipiki 3, mota kusukuma maji, radio ya Sonny, deki ya MPG4, brenda chupa za pombe aina ya Grants, TV za flat screen, radio ya gari, jenereta mbili na projekta moja, king'amuzi na mashine moja ya EFD, filimbi ya polisi, koti la mvua la polisi na JWTZ, bia kreti 7 na viti pamoja vitu vingine

Kamanda wa polisi amewatumia ujumbe wahalifu kuwa anakataa misemo ya wahenga ya 'Za mwizi ni arobaini', polisi watakukamata kabla ya arobaini yako haijafika

Pia ameukataa msemo wa 'Aliye juu mngoje chini' na kusema ukiwa unaiba hata ukiwa wapi watakufuata hukohuko

Chanzo: Mwananchi
 
kwan háwana uewezo wa kumiliki hivyo vitu??
 
Pwani kubwa mkuu! Ina takribani wilaya 8 sasa cjui ww unaisemea ipi?
 
Back
Top Bottom