Pwani! Kuna tatizo gani!

Lusako

New Member
Dec 23, 2009
2
0
Habari jamani, Kuna jambo moja binafsi linanisumbua akili yangu saana, Kwa uchunguzi wangu mdogo nimegundua kuwa Maeneo ya pwani, namaanisha Tanga, Dar, Mombasa, Kuna tabia ambayo siyo nzuri, Idadi kubwa ya wanawake wanaingiliwa kinyume na maumbile, pia mashoga ndo chanzo chao huko, Kwanini! Ki historia nagundua kuwa maeneo hayo wageni walikuwa wanatumia kama njia ya kuingilia nchini, je inaweza kuwa ndo sababu? Naamini mashoga na tabia ya kuingilia wanawake kinyume na maumbile wapo kila mahali sasa, lakini idadi imetofautiana kulingana namaeneo nilotaja, labda hii inatokana na watu kusafiri hivyo kusambaza tabia hiyo. Nisaidieni jamani.
 
Unajua tabia za waarabu ni kuhusudisha tigo kwa saana.kwa maeneo uloyataja yamekaliwa sana na hao jamaa zetu waarabu.Habari ndo hiyo!!!
 
ni kutokana na kuwa waarabu wengi walifikia maeneo hayo, na inasemekana tabia hiyo imetawala sana katika jamii yao
 
Njoo na takwimu hapa siyo hearsay. Halafu hiyo Dar inakaliwa na waarab mpaka sasa hivi? Dar haina wenyewe maana ni mchanganyiko wa makabila yoote. Unless km unaujumbe mwingine vinginevyo njoo na data
 
ni kutokana na kuwa waarabu wengi walifikia maeneo hayo, na inasemekana tabia hiyo imetawala sana katika jamii yao
Inasemekana??? Wapi?? Hivi uzunguni wanafanya nini? Hii tabia ya kupata watu matope ni mbaya saana. Mara kabila fulani hivi, jamii fulani vile??? Is it generalisable kwenye species fulani?
 
Na kuna madai mengi tu yasiyo na majibu, wadau wanadai pale IFM,CBE,UDSM,USTAWI nk kuna mademu wanasoma lkn wana Magari na kwao wazazi wao hawana uwezo wa kununua hata BAJAJ kisa biashara ya TIGO
 
Nina mifano kadhaa kwenye point yako hapo juu, ila nilikuwa sijui kama yanapatikana kwa biashara unayosema. Kuna binti alikuwa anaishi maisha ya hali ya juu sana, nilipokutana na mama yake sikuamini! Mwingine tulienda kwao kulikuwa na msiba, ilikuwa aibu ya mwaka...kwao hapafanani na yeye hata kidogo.
 
New York City has 6% of population (272,493) official New York have the biggest and largest Gay and lesbian population of the world!!! Go and figured out!
 
Lesbian, gay, bisexual, and transgender (LGBT) related laws vary greatly by country or territory – everything from legal recognition of same-sex marriage or other types of partnerships, to the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Death_penalty"]death penalty[/ame] as punishment for same-sex sexual activity or identity.
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/LGBT"]LGBT[/ame]-related laws include but are not limited to: government recognition of same-sex relationships, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/LGBT_adoption"]LGBT adoption[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sexual_orientation_and_military_service"]sexual orientation and military service[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Immigration_equality"]immigration equality[/ame], anti-discrimination laws, hate crime laws regarding [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Violence_against_LGBT_people"]violence against LGBT people[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sodomy_law"]sodomy laws[/ame], anti-[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Lesbian"]lesbianism[/ame] laws, and higher [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Age_of_consent"]ages of consent[/ame] for same-sex activity.

bonyeza hapa utaona ni nchi gani zinaongoza kwa hayo mambo ya Gay na Lesbian [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/LGBT_rights_by_country_or_territory[/ame]
 
Sio tu waarabu hata wazungu,Wagiriki wana tabia kama za waarabu

....Hila hili tatizo lilianzia kwa waarabu, baadaye ndio likasambaa huko kwingine.
Wasichana wengi wa kiarabu hadi leo hii wanafanywa nyuma ili kulinda bikira zao.
Kwa mila za kiarabu mtoto wa kike lazima aolewe bikra, hivyo wasichana wengi wanatoa nyuma ili mbele kubaki bikra.
 
....hila hili tatizo lilianzia kwa waarabu, baadaye ndio likasambaa huko kwingine.
Wasichana wengi wa kiarabu hadi leo hii wanafanywa nyuma ili kulinda bikira zao.
Kwa mila za kiarabu mtoto wa kike lazima aolewe bikra, hivyo wasichana wengi wanatoa nyuma ili mbele kubaki bikra.

he basi hawa waarabu mbona wanaogopeka
 
inawezekana vp TIGO ikawa tamu kiasi hicho!! mpaka watu wanapewa magari?? da, where r we going...mwogopeni Mungu,
 
....Hila hili tatizo lilianzia kwa waarabu, baadaye ndio likasambaa huko kwingine.
Wasichana wengi wa kiarabu hadi leo hii wanafanywa nyuma ili kulinda bikira zao.
Kwa mila za kiarabu mtoto wa kike lazima aolewe bikra, hivyo wasichana wengi wanatoa nyuma ili mbele kubaki bikra.
una uhakika? au ndivyo unavyosikia?
 
inawezekana vp TIGO ikawa tamu kiasi hicho!! mpaka watu wanapewa magari?? da, where r we going...mwogopeni Mungu,
ni swala la kushangaza sana,but imekuwa ni tabia kwa wanajamii wakiwaona watu wanapendana ama mwanaume kato zawadi kubwa,huwa tunatafuta kitu cha ajabu kuwasingizia,kwa mfano utasikia ah karogwa yule,au yule msichana anatoa tigo.mbona kuna mashoga kibao ambao hawajifichi na magari hawana?,kuna yule shoga aliwahi kudai mahakamani kawekwe jela ya wanawake,mbona alikufa hana gari?.sidhani kama hawa wakina dada wanaojipatia magari wanayapata kwa kutoa tigo.
 
New York City has 6% of population (272,493) official New York have the biggest and largest Gay and lesbian population of the world!!! Go and figured out!
Nayo iko pwani vile vile, na hakuna waarabu wengi waliofikia huko
 
HA HA HA. Huko Marekani kuna afro-Americans mbona huko Arabuni hamna afroa-rabs. Watumwa waliopelekwa Arabuni hakuna alieoa? ina maana wote waliolewa wanaume kwa wanawake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom