pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,642
- 6,269
=======
Updates:
========
Habari hii imekanushwa na JWTZ, si ya kweli.
Kutoka Jeshi la wananchi...kwahiyo wananchi wamechukua Kifaru chao.Hapo Hakuna Kesi Yoyote
Kifaru Kimeibiwa Na Wananchi
Huyo hakimu kama namuona vile akifiria jinsi ya kutoa hukumu,watu 20 wameiba kifaru..Nchi ina vituko hii.