Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

Kwanini mtu atoe roho za watu wasio na hatia? Poleni sana ndugu wa askari hawa, kwa kweli kuua Traffic ni uonevu mkubwa sana.
 
Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, mchana huu.

Taarifa za kuaminika zilizolifikia gazeti hili zimeeleza kuwa gari la askari hao pia limechomwa moto na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vimeelekea eneo la tukio.

Tutaendelea kukujuza jina la askari huyo na namna mauaji hayo yalivyotokea hivi punde.

Chanzo:
Serikali inabidi ibadili mbinu za kupambana na hawa washenzi
 
Back
Top Bottom