Kwani alikuwa yupo kazini?Huyo askari anatakiwa apandishwe cheo.
Majeshi ndiyo nguzo muhimu ya taifa na askari wote wanatakiwa wafanye kazi kwa weledi na uzalendo.
Walinde katiba na pale hali ya uvunjifu wa amani, uonevu kwa raia unapozidi kutokana na sababu za kisiasa, washike madaraka kwa muda.
Hawatakiwi kabisa kuungana na makundi ya kisiasa hadharani, hasa wakati wa amani.
Kwani alikuwa yupo kazini?
Nimesikia li Bashite linajiandaa kumpoteza kabla ya 2020!January makamba aliyemtengenezea kura zote wamemtupa benchi sijui 2020 kama hatauza siri pande ingine
Absolutely trueNawaza kama ingekuwa kwenye halmashauri inayoongozwa na CDM halafu CDM wamfanyie huyo askari hivyo,nadhani sasa hivi wangekuwa central!
Hii inchi wanaiharibu.
Hivi unajua maana ya Rutashobolwa ? , kwa lugha ya kihaya Rutashobolwa = ni lijitu la ovyo lisilopenda kushauliwa au kuelewa kituIddi Amini alikuwa sawa kuiteka kagera
Kwani alikuwa yupo kazini?
Aiseee ukisikia top down effect ndiyo hii.
Kinachofanyika juu kinashuka na kuigwa chini, WE ARE DOOMED, it is just a matter of time TUNAENDA KUSAMBARATIKA KABISA,
Angalia hii video kwa makini ujionee na usikie mwenyewe,sitashangaa kusikia huyo askari katoweshwa au kachukuliwa hatua kali kwa maelekezo fulani.
View attachment 1181707
Are you crazy? Umeiangalia hiyo clip au unajitoa ufahamu tu? Being an asshole has become a new norm to some you these days, you belong there fulltime.Clip iko wazi kabisa kakataa kujibu swali kwa kisingizio Cha chama!!!! Wakati swali la kikazi
Kakatishwa baada kukataa kusema CCM oyeeee...., hakuulizwa swali lolote pale so don't prove to us the jerk that you are.Kuulizwa swali la kwa Nini kituo hakifunguliwi masaa 24 nalo Ni swali la Askari yule kujikanyaga? Hadi kusema sihojiwi na chama? Yule Askari alitoka nje ya ulingo wa kazi Yake.Angejibu tu na Wala haikuwa kesi .Askari yule ana uelewa mdogo wa kazi Yake.Alipanic alipoona watu wamevaa nguo za CCM .Swali lile lilikuwa la kawaida kabisa la kikwzi Wala SI la kisiasa kwake.
Mkuu kwa akili zako ili askari awepo kazini lazima awe amevaa sare...or awe yupo kituoni????...askari yupo kazini muda wote na kikawaida hata wewe hapo mtaani kwenu mnaweza mkawa na mkutano wa mtaa na mnaruhusiwa kumuomba askari yoyote aje kwenye mkutano wenu kama kuna jambo mnahitaji lipate ufafanuzi kutoka kwenye vyombo vya usalamaKwani alikuwa yupo kazini?