Puyi, the last Emperor of China

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
In the winter of 1911-1912, a political earthquake in Asia brought one of our last links to the ancient world crashing down. Imperial China had outlasted the Western Roman Empire, the Byzantine Empire, the Holy Roman Empire. For 2,000 years, it had withstood civil wars and foreign invasion, only to dramatically implode after less than six months of unrest. The emperor on the throne at this turning point in history?

A six year old boy named Puyi.

Born into an ossified court and brought up in unimaginable luxury, the boy emperor spent his first six years as a living god… before finding himself turned into a political fossil, a relic of a dead age. But there was more to Puyi than just one frightened child. An entitled brat who grew up to be a spoiled playboy before ending his life a convicted war criminal, Puyi was the living embodiment of China’s crazed 20th Century transformation. Join us today as we journey through the life of China’s Last Emperor.

1637703923988.png
 
Ulevi huo
Mchumba aliyeandaliwa alikua msomi mwenye uzuri wa kawaida. Aliandaliwa kuwa Malkia lakini mwenyewe aliomba vijakazi wake wamletee picha ya vigori wote nchini. Aliipenda picha ya mmoja lakini hakua na elimu ila alikua kisu kikali.

Aliamua kuwaoa wote na aliishi nao nyumba moja. Msomi alikasirika lakini mwisho walitokea kuwa marafiki hawa wanawake wawili.
 
Alipenda vijana wadogo wakiume ingawa hii haiwekwi hadharani.
Teh teh teh!! Alikuwa anafukuwa tope, kweli dunia imeanza kuisha kitambo, sasa hivi inaishia ishia, mchina na michezo hiyo wapi na wapi, ama ndio alikuwa kajifunza kwa wageni, miaka hiyo nahisi huku kwetu bara giza mambo hayo bado.

Mshana Jr njoo huku bulaza, bwana mdogo alikuwa anafunua vizibo.
 
Ulaya michezo hii ilifanyika sana jeshini lakini zilikua ni siri za jeshi na zinaishia huko huko. Wakirudi uraiani wanaoa.

Enzi za jeshi la Alexander mpaka Roman Army hakukua na shule. Kila kijana akifika miaka 24 anajiunga na jeshi huko ndiko anapata ujuzi utakaomsaidia maishani.

Afrika ilikuja na biashara ya utumwa.
 
Mchumba aliyeandaliwa alikua msomi mwenye uzuri wa kawaida. Aliandaliwa kuwa Malkia lakini mwenyewe aliomba vijakazi wake wamletee picha ya vigori wote nchini. Aliipenda picha ya mmoja lakini hakua na elimu ila alikua kisu kikali.

Aliamua kuwaoa wote na aliishi nao nyumba moja. Msomi alikasirika lakini mwisho walitokea kuwa marafiki hawa wanawake wawili.
Hui urafiki wa wake wenza ni wa kutia shaka
 
Ulaya michezo hii ilifanyika sana jeshini lakini zilikua ni siri za jeshi na zinaishia huko huko. Wakirudi uraiani wanaoa.

Enzi za jeshi la Alexander mpaka Roman Army hakukua na shule. Kila kijana akifika miaka 24 anajiunga na jeshi huko ndiko anapata ujuzi utakaomsaidia maishani.

Afrika ilikuja na biashara ya utumwa.
Ulaya hii michezo kitambo tu, cha kushangaza ni yeye mchina tena enzi hizo kupenda SIDE B.
 
Teh teh teh!! Alikuwa anafukuwa tope, kweli dunia imeanza kuisha kitambo, sasa hivi inaishia ishia, mchina na michezo hiyo wapi na wapi, ama ndio alikuwa kajifunza kwa wageni, miaka hiyo nahisi huku kwetu bara giza mambo hayo bado.

Mshana Jr njoo huku bulaza, bwana mdogo alikuwa anafunua vizibo.
Dunia imeharibika zamani. Nilishangaa kusoma kuwa Mtoto wa Kabaka Mutesa, kabaka nani sijui naye alikuwa anakula wavulana wadogo!! Walipopigwa neno wakaanza kumgomea, akamaind na kuwafanyia ukatili mkubwa.
 
Bora tuu hilo tobo ndio lingehalalishwa halafu hili lingine ndio lingekuwa la kutoa haja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom