Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,834
1,291
Hiyo Gas siku Moja ataiuza kwa bei ya kutupwa.Kumbuka hata Ujerumani Hadi Sasa amesha fyeka more than 16% Kwenye utegemezi wa Gas Toka Urusi.UK ndio Hana time kabisa na Gas ya Urusi anaipata Toka Norway kitambo .Italy katulia zake kitambo sana alishaona njia Algeria ndio mkombozi wa Italy.Qatar anasupply LNG kwa nguvu,70% ya US LNG inaenda Ulaya.Urusi anambembeleza mchina anunue Gas.China na India wamekomba mafuta ya Russia Sasa hawataki Tena mafuta yake.Putin kifupi anachemka kugeuza bidhaa inayokupa pesa kama silaha kwa mteja wake.
Mkuu,

sio jambo rahisi hivyo na kwa sasa dunia haina mbadala wa fossil fuels, Hiyo Norway uisemayo imekuwa ikitoa gas muda wote ...na bado kulijengwa Nord Stream II ....kwa nini wasijenge kwenda Norway ambako ni karibu?
 

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,834
1,291
Wanaolia tunawaona ...dunia ya sasa sio ya zama za kale watu mnakusanyika jioni kusikiliza stori za lofa mmoja akiwapa habari za dunia.............na jitihada zenu zote za kuzuia habari za urusi safari hii hali ngumu mbivu na mbichi zinaonekana
Nasm Mkuu,

Hii vita inaenda kubadilisha mtazamo na hata mustakabali wa Dunia ...Juzi hapo tumeona Solomon Island wakipiga spana ma Super power

Achilia mbali yule Mama wa Kisauzi ...akamchimba beat Blinken ...tena ksa yai safi

Putin kajua kutupa raha
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
12,971
24,930
Naona kama watu wengi hawajaelewa kitu kwenye matamshi ya Putin,
Russia itafungulia gas hata kesho kama watapata TURBINE

Mtego upo hapo kwenye kuipata hiyo TURBINE,

Kwa mujibu wa viongozi wa Germany ni kwamba hiko kifaa kipo tayari muda tu na wao kwa upande wao wameshafanya kila kitu ili kifaa kiwe derived to Russia,wanasubiri upande wa Russia wakamilishe some process ili kifaa kitumwe kwenda Urusi

Russia kagoma muda tu kukamilisha mchakato ili TURBINE iwafikie

Kwahiyo unaweza kuona mchezo unaochezwa hapo,TURBINE itafika vipi Russia?
Naomba picha ya hilo likifaa
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
9,759
9,124
Narudia Tena uchangiaji wa humu Ni kipimo.tosha kwamba wewe Ni taahira, mzima au wanakubomoa aka shoga
Mkinyimwa gesi mnalalamika, mkipewa gesi mnalalamika.
Kwa kukusaidia tu labda ungesema he kwanini Hao mashoga zenu EU wasikatae kabisa kutumia gesi ya Russia, ambayo kila kukicha anawatesa nayo?
Washaweka azimio kuachana nayo soon.
Swala lililopo mezani ni sasa ambapo kazima hiyo gas.
Nchi zote EU zishatafuta solutions so hamna crisis kwao zaidi ya kupandisha bei umeme.
Maan a ni huyohuyo mrusi yuko tayari kuuza tena kwa bei mbaya baada ya kuona EU wanasolve Kimyakimya, akiwasha unaendelea kutumiwa huku hizo nchi zina plan B.
Asipowasha ni sawa vilevile EU wanaendelea na mipango yao.
Urusi kavunja mkataba kuzima hiyo,ni wake up call nchi hizo wanatafuta namna ya kuachana na gas yake kimoja.
 

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,834
1,291
Washaweka azimio kuachana nayo soon.
Swala lililopo mezani ni sasa ambapo kazima hiyo gas.
Nchi zote EU zishatafuta solutions so hamna crisis kwao zaidi ya kupandisha bei umeme.
Maan a ni huyohuyo mrusi yuko tayari kuuza tena kwa bei mbaya baada ya kuona EU wanasolve Kimyakimya, akiwasha unaendelea kutumiwa huku hizo nchi zina plan B.
Asipowasha ni sawa vilevile EU wanaendelea na mipango yao.
Urusi kavunja mkataba kuzima hiyo,ni wake up call nchi hizo wanatafuta namna ya kuachana na gas yake kimoja.
Easily said than done .....

If ...and repeatedly If ...they can attain any replacement ...it is PROJED that in 2027 they can attain that

Turudi kwenye uhalisia ...sasa ...effect ya miezi mi3 tu...nazungumxia tangu Russia alipoanza kupunguza viwango..... imeleta haya yote na tishio la instability both economically and politically ...can you imagine miaka 5?
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
9,759
9,124
Easily said than done .....

If ...and repeatedly If ...they can attain any replacement ...it is PROJED that in 2027 they can attain that

Turudi kwenye uhalisia ...sasa ...effect ya miezi mi3 tu...nazungumxia tangu Russia alipoanza kupunguza viwango..... imeleta haya yote na tishio la instability both economically and politically ...can you imagine miaka 5?
Miaka mi5 vipi wakati lengo la wanunuzi ni kuachana na hiyo gas kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
 

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
7,263
7,392
Na video hii hapa chini,bisha na hii.

Ndio maana nashangaa Putin Leo analilia turbine wakati walishaambiwa tangu August mwanzoni wakaichukue,wakadai hawataki wanataka vikwazo viondolewe ndo watoe Gas


Waichukuaje wakati mmeweka vikwazo kuleni jeuri yenu,,,,,,unaingia uwanja wa mapambano unarusha ngumi mwenzio akijbu unasema sitaki upige ngumi na mkono wa kushoto.....mmeshachagua vikwazo basi pambaneni na yote....njaa haina baunsa
 

CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
8,232
5,539
Huyu jamaa sasa hivi akapimwe maana anakoelekea ni kituko, si alidai hatorudisha gesi hadi waondolewe vikwazo vyote.

Now kikwazo ni turbine.

Putin says Russia will restart Nord Stream 1 gas flows 'tomorrow' if it gets turbines, and blames sanctions for the shutdown Karen Friar

Vladimir Putin Gazprom

State-owned energy company Gazprom has slashed the supply of natural gas to Europe.AFP/Getty Images
  • President Vladimir Putin said Russia could restart gas flows to Europe via Nord Stream 1 'tomorrow', if it gets turbines.
  • Russia indefinitely halted flows through the pipeline last week, intensifying Europe's energy crisis.
  • He blamed Germany and Western sanctions for the indefinite halt in operations for the pipeline.
Russian President Vladimir Putin said Wednesday that Gazprom could restart gas flows to Europe via the key Nord Stream 1 pipeline tomorrow, if it gets the turbines needed.

He blamed Germany and Western sanctions for the indefinite halt in operations for the pipeline, according to media reports from his speech at the Eastern Economic Forum

Source yahoo latest news

Hii mbona ni tofauti na taarifa leo asubuhi iliyotangazwa Amka na BBC!?
Nadhani hii iko biased.
 

Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
1,410
1,319
With his current state of Mind and Health, he has nothing to loose (thus thining and behaving irrationaly)!!!
 

Matawi ya juu

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
738
1,315
Ukisikia akili kubwa ndo kama hizi ....you gota apprecite this chess player
Siamini kama Putin ni mpuuzi kiasi hiki, US playing long term game na ameshashinda tayari, zile terminals zinazojengwa gulf coast za kusafirisha LNG zimekula market kubwa sana ya Russia na ndio US alichokuwa anatafuta, sitaki hata kuamini kama Russians ni wapuuzi kiasi hiki...sad indeed!!!
 

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
7,263
7,392
Siamini kama Putin ni mpuuzi kiasi hiki, US playing long term game na ameshashinda tayari, zile terminals zinazojengwa gulf coast za kusafirisha LNG zimekula market kubwa sana ya Russia na ndio US alichokuwa anatafuta, sitaki hata kuamini kama Russians ni wapuuzi kiasi hiki...sad indeed!!!
Watu wanalia huku.....masarafu yao yanaporomoka mrusi ndo kwanza uchumi unakua.........hii longterm itawavua nguo hao wamagharibi kwanza vita inavyozidi kuendelea na influence yao inapotea maana watu wote sasa wanaona mbivu na mbichi...........Russia ndo kwanza anazidi kuongeza masoko huko asia kukosa soko la ulaya ni kama hamna kitu kimetokea kwake ila upande wa pili wanasaga meno
Screenshot_20220908-064221_RT News.jpg
Screenshot_20220908-064335_RT News.jpg
 

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
5,396
8,487
Kama China kakubali kulipa kwa Ruble sisi ni nani tubishe na kupiga ramli?
Hayo ni makubaliano yao wenyewe maana hapa nilipo mvua imenyesha Sana na baridi kwa mbali

Sasa bora wazungu wakubali tu masharti ili tusife kwa baridi
Qatar peke hawezi

Putin anawapelekesha haswa na hii kampuni ni ya 23 duniani
Sio mchezo
Sorry hamnazo kweli lipa uwone kama hamjaamka mafuta yanauzwa kwa tsh 5000 lts. USA ni noma sana.
 

Matawi ya juu

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
738
1,315
Watu wanalia huku.....masarafu yao yanaporomoka mrusi ndo kwanza uchumi unakua.........hii longterm itawavua nguo hao wamagharibi kwanza vita inavyozidi kuendelea na influence yao inapotea maana watu wote sasa wanaona mbivu na mbichi...........Russia ndo kwanza anazidi kuongeza masoko huko asia kukosa soko la ulaya ni kama hamna kitu kimetokea kwake ila upande wa pili wanasaga meno View attachment 2349614 View attachment 2349615
Time will tell, Russia kishashindwa tayri, usicheze na US watakumaliza tuu
 

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
5,396
8,487
Ukiangalia vita ya Russia vs Ukraine utagunduwa jambo moja tu nguvu ya usalama wa Taifa. National Intelligence. Kwa sasa CIA na Mossad ndio wanamjambisha Putin na mwisho lazima watake dam yake bila kumwagika. Hiyo ndio nguvu ya Intelligence
 

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,834
1,291
Miaka mi5 vipi wakati lengo la wanunuzi ni kuachana na hiyo gas kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
There is no way on earth they could achieve thqt ...not even in their wildest dreams

Yaani ni sawa na kusema watumiaji wengine wote waache kutumia ili hao suppliers wakawauzie wao tu

on top of that ....wakawauzie kwa bei ambayo Russia anawauzia ...Mkuu kuna forces za Demand and Supply pia
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom