Putin tena kuichagulia kiongozi Ujerumani baada ya kumchagua Trump

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,499
50,988
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia....

Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 ....

Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa ujerumani utakao fanyika mwaka huu.....

Halafu walivyo wajanja wanapandikiza Sera zilezile walizopandikiza kwa marekani na mgombea wao Donald Trump........

Sera kuu uko nchini ujerumani kwa Sasa ni Immigrants kama mnakumbuka wale magaidi waliovamia soko la Crismas wameleta mjadala mkubwa sana Wa migration law and regulations nchini Ujerumani wapinzani wanasema Sera za uhamihaji zinatakiwa kufanyiwa mageuzi makubwa.......

Wakati huo Canceller Angle Marker anagombea tena muhura Wa tatu kuendelea kutetea sera zake za kuwaruhusu wahamiaji hasa kutoka Syria.....

Hivyo kwa kuwa ana ushawishi katika umoja wa ulaya kuliko viongozi wote ,mkumbuke pia ndio mfadhiri mkuu Wa umoja huo hivyo ili ili Russia kuua kabisa ushirikiano ni kuchagua kiongozi Wa mlengwa Wa kushoto au kati ili aje kuua Sera za Umoja huo hivyo kuua NATO automatically.. .......

Russia wapo kazini tena wakifanikiwa kwenye hili tena basi watakuwa ndio wababe wa dunia ...
 
Tangu nianze kusoma nyuzi zako leo ndio umeandika vibaya zaidi.

Mkuu umuhimu wako kwenye mambo ya siasa unaonekana, jitahidi kuepuka makosa ya kiuandishi.
 
USA ana monitor watumiaji wote wa computer ,data zenu zote anazisoma

Ripoti imetoka mwishoni mwa mwaka jana nchi zaidi ya 105 duniani walikuwa monitored na NSA

USA wanasikiliza nyendo za maongezi ya marais wenu

Tofautisha kuingia kwenye server za chama cha kisiasa na kuingia kwenye server za serikali

CIA kila siku wanawa deanonymize watumiaji wa Torbrowser na deepweb

Kwenye cyber war hakuna mjanja

North Korea mbona alikuwa anatuma mashambulizi USA ,mkuu wa kitengo NSA aliwaonya system mnayotumia ni dhaifu mno ,kujilinda yenyewe hamwezi acheni ujinga

China,Iran nao jeshi lao la cyber wanawashambulia USA kila uchwao

Uzuri USA anajua statistics za mashambulizi yote duniani ,wanafahamu Leo Tanzania wameshambuliwa kiasi gani na mashambulizi mangapi yametoka nchi gani

Hata huyo Hillary alionywa na CIA lakini alikataa kuwasikiliza CIA

McCain kasema na wao USA wakiamua kumshambulia urusi hatopona lakini vikwazo ndio njia muafaka

Masahihisho:Kwenye cyber hakuna mbabe siku zote lakini USA yupo mbali mno ,tena mbali kweli kweli
 
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia....

Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 ....

Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa ujerumani utakao fanyika mwaka huu.....

Halafu walivyo wajanja wanapandikiza Sera zilezile walizopandikiza kwa marekani na mgombea wao Donald Trump........

Sera kuu uko nchini ujerumani kwa Sasa ni Immigrants kama mnakumbuka wale magaidi waliovamia soko la Crismas wameleta mjadala mkubwa sana Wa migration law and regulations nchini Ujerumani wapinzani wanasema Sera za uhamihaji zinatakiwa kufanyiwa mageuzi makubwa.......

Wakati huo Canceller Angle Marker anagombea tena muhura Wa tatu kuendelea kutetea sera zake za kuwaruhusu wahamiaji hasa kutoka Syria.....

Hivyo kwa kuwa ana ushawishi katika umoja wa ulaya kuliko viongozi wote ,mkumbuke pia ndio mfadhiri mkuu Wa umoja huo hivyo ili ili Russia kuua kabisa ushirikiano ni kuchagua kiongozi Wa mlengwa Wa kushoto au kati ili aje kuua Sera za Umoja huo hivyo kuua NATO automatically.. .......

Russia wapo kazini tena wakifanikiwa kwenye hili tena basi watakuwa ndio wababe wa dunia ...

Umeandika kama bata anatembea Kwenye maji machafu

swissme
 
NATO KUVUNJIKA HAIWEZEKANI MKUU labda kama unaota ndoto ukiwa ndani ya minibus ukitokea posta kwenda kariakoo.
 
Mtoa mada hajui international affairs au shabiki wa Putin, Russia aliingia kwenye servers za Democrat sio za nchi ya Marekani, baada ya kutoa data za mama Clinton ndio wamarekani wakauzika hivyo wengine wakamnyima kura na sio kama ulivyoelezea.
 
Naunga Mkono kampeni ya Putin.
Hao wakimbizi wanaeneza ugaidi Ulaya na Marekani.Bora wakimbilie kwenye nchi zenye nasaba nao.
 
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia....

Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 ....

Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa ujerumani utakao fanyika mwaka huu.....

Halafu walivyo wajanja wanapandikiza Sera zilezile walizopandikiza kwa marekani na mgombea wao Donald Trump........

Sera kuu uko nchini ujerumani kwa Sasa ni Immigrants kama mnakumbuka wale magaidi waliovamia soko la Crismas wameleta mjadala mkubwa sana Wa migration law and regulations nchini Ujerumani wapinzani wanasema Sera za uhamihaji zinatakiwa kufanyiwa mageuzi makubwa.......

Wakati huo Canceller Angle Marker anagombea tena muhura Wa tatu kuendelea kutetea sera zake za kuwaruhusu wahamiaji hasa kutoka Syria.....

Hivyo kwa kuwa ana ushawishi katika umoja wa ulaya kuliko viongozi wote ,mkumbuke pia ndio mfadhiri mkuu Wa umoja huo hivyo ili ili Russia kuua kabisa ushirikiano ni kuchagua kiongozi Wa mlengwa Wa kushoto au kati ili aje kuua Sera za Umoja huo hivyo kuua NATO automatically.. .......

Russia wapo kazini tena wakifanikiwa kwenye hili tena basi watakuwa ndio wababe wa dunia ...
upumbavu ni kitu kibaya sana
 
upumbavu ni kitu kibaya sana
1485369090255.jpg
 
NATO haiwez kufa? Aisee inawezemekana historia ya dunia huijui ila whether u like or not NATO will die na itakuwa mbele ya macho na masikio yako
 
Back
Top Bottom