Ndio maana kasema tumuombee.Uongozi ni hekima, sisi tumeikosa
Ndio maana kasema tumuombee.
Kweli kua uyaone! Rais wa Urusi katoa salamu za mwaka mpya kwa hotuba ya kuiunganisha nchi. Sisi tuliambulia kadi yenye bendera, mlima, simba, faru na taa mwisho tumeambiwa bado hela zitakauka.