Putin alikuwa namuunga mkono au alikuwa anamuogopa George W. Bush?

Putin hadi kingereza alikuwa anakiongea ila siku hizi anajifanya hakijui

Putin baada ya kuingia Obama alikaa mbali na USA
All in all Bush alikuwa na ushawishi
Bush maamuzi yake yameigharimu sana USA ndo maana unaona Trump anabweka kama mbwa koko, pesa za kupigana hovyo hawana China inawasumbua akili we unaona Trump kashindwa hata kuipiga Venezuela, kule Iran anatoa ahadi zisizoeleweka
 
Back
Top Bottom