Purple Corns in Thailand.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
6486_546798092028992_1899802620_n.jpg


Mahindi Meusi yapo nchini Thailand tu kwingine hakuna. Je yapo hapo Tanzania Mahindi Meusi?
 
hii nchi ina maajabu mengi sana likiwemo suala la rushwa na umasikini..
 
Yapo lakini mara nyingi unakuta ni mbegu chahe za zambarau kati ya mbegu nyeupe.
 
Yapo maeneo ya Mlowo na Mwakaleli huko Mbeya,pia yanapatikana baadhi ya maeneo ya Mbinga mkoani Ruvuma (hii ni kati ya 2004-2010) sijafuatilia baada ya hapo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom