PURE EVIL: The United Nations Unveils a Statue at its NYC Headquarters that Resembles the Beast from the Book of Revelation

Grade 1 kabisa kutoka uturuki
Kwamba hii imekuwa imported from Turkey🤣🤣 asee Edorgan akiona hii comment anaweza amsha majeshi yake kuivamia bongo😏🤣

Sema kati ya discussion ambazo unipa utata kuzielewa ni hizi topic za huyu jamaa ,yani yeye kila kitu ukiona ni cha shetani ,sasa sijui yeye hapa duniani bado anafanya nini

Maana kama UN ni agent wa devil wakati huo taifa lake ni member wa hii organisation, sasa yeye anakosa vipi kwenye huu ushetani
 
Haahhaaaa Naunga mkono hoja huyo jamaa amedata aiseee kwanza ni mfia dini kindaki ndaki anakwambia Dunia ni flat na hata Hizo project za kwenda mwezini ni propaganda na hata Elon Musk hajatuma vyombo mars yaani hua ana maboko balaa anaamini science and technology ni mpango wa Lucifer na Hapo Hapo anatumia internet na na kifaa Cha Lucifer kumpinga na kumkandia Lucifer!
What a joke kwenye threads zake!
😂😂😂😂
😄😄😄😄 Mkuu dishi jamaa limeshayumba kitambo saaaana.
 
Kwamba hii imekuwa imported from Turkey🤣🤣 asee Edorgan akiona hii comment anaweza amsha majeshi yake kuivamia bongo😏🤣

Sema kati ya discussion ambazo unipa utata kuzielewa ni hizi topic za huyu jamaa ,yani yeye kila kitu ukiona ni cha shetani ,sasa sijui yeye hapa duniani bado anafanya nini

Maana kama UN ni agent wa devil wakati huo taifa lake ni member wa hii organisation, sasa yeye anakosa vipi kwenye huu ushetani
⏩Maana kama UN ni agent wa devil wakati huo taifa lake ni member wa hii organisation, sasa yeye anakosa vipi kwenye huu ushetani⏪Mkuu hii comment yako inanionyesha jinsi usivyoijua dunia,na jinsi ulivyo ignorant.Hebu tell me,hivi unadhani kwa nini the UN kama is an organization for good,ime-unveil hii statue tata kiasi hiki.

Mwisho,labda nimalizie kwa kukuambia kwamba mimi nyumbani kwetu sio duniani,napita tu,nyumbani kwetu ni mbinguni.I am only here for a while,kama wewe unafikiri umefika nikupe pole sana.Labda ndio maana unaipenda dunia,na mambo yake huyashangai.
 
Sawa mimi naweza kuwa ignorant lakini hii kulingana na mtazamo wako.

Naomba wewe mjuzi wa mambo unionyeshe ushetani uliopo katika hii statue.

Mwisho kabisa kama we makazi yako ni mbiguni(kitu ambacho sidhani kama ni kweli) kwanini kila unapoleta mada zako hapa mbona wa mtaja shetani sana kupita umtajavyo Mungu wako?

Kwa maana walio wa Mungu si twawajua kwa maana kila wakati utueleza habari za Mwenyezi Mungu.Kuanzia Ibrahim,Isaac,Jacob,David ,Solomon,Jesus and list goes on, wote walifahamika kuwa wa Mungu kwa maana siku zote walikuwa wakitufahamisha ya Mungu.

Kama ilivyo kwa watu wa Mungu kumueleza Mungu ndivyo ilivyo kwa wa shetani umtaja shetani wao na kumjua zaidi kwa kumfunua kwa watu.Sasa we wasema statue ya UN ina ushetani we ushetani wake umeuona vipi
 
⏩Naomba wewe mjuzi wa mambo unionyeshe ushetani uliopo katika hii statue⏪
Huna haja ya kuonyeshwa na mtu ubaya wa hiyo statue,kama wewe ni "Mwana wa Mungu" the Spirit of God inside you will tell you.Pole sana.
 
Alama ya mnyama ni mamlaka as per bible itself.

Ni aibu kwa mleta maada. Kutuletea habari za hilo sanamu.

Wafia dini wengi huwa nawadharau sana.
 
Mimi sio mfia dini,acha umbumbumbu,mbona bado niko hai,ningekuwa mfia dini,si ningekuwa nimeshakufa!Ungekuwa si mbumbumbu ungenishukuru kwa kukuletea kitu ambacho kinakusaidia kujua alama za nyakati,lakini kwa kuwa wewe you are condemned to hell,kaa na umbumbumbu wako.
 
Mbumbumbu ni wewe...

Mbumbumbu hawezi ona umbumbunbu wake alioandika.
 
Ufunuo wa Yohana 12:12

"Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu"

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
usabato ni janga la kidunia...
mleta mada bila shaka ni msabato.
Mimi sio Msabato kwa kuwa Usabato is a cult,na siwezi kuwa member wa Cult.

Mimi ni mpita njia duniani,ambaye niko committed kuwaeleza Wanadamu ukweli ambao wameukosa na kuambiwa uongo katika almost mambo yote yanayowahusu for millenia.
 
⏩Maana kama UN ni agent wa devil wakati huo taifa lake ni member wa hii organisation, sasa yeye anakosa vipi kwenye huu ushetani⏪Mkuu hii comment yako inanionyesha jinsi usivyoijua dunia,na jinsi ulivyo ignorant.Hebu tell me,hivi unadhani kwa nini the UN kama is an organization for good,ime-unveil hii statue tata kiasi hiki.

Mwisho,labda nimalizie kwa kukuambia kwamba mimi nyumbani kwetu sio duniani,napita tu,nyumbani kwetu ni mbinguni.I am only here for a while,kama wewe unafikiri umefika nikupe pole sana.Labda ndio maana unaipenda dunia,na mambo yake huyashangai.
Nyie watu mnavituko Sana Eti Duniani sio kwetu,kwetu mbinguni,Hivi Hizo hekaya nani hua anawaaminisha ?
Kama Duniani sio kwenu kwanini uliletwa hapa,kama ungekua mkazi wa mbinguni nadhani ilikua Haina haja ya kuwa Duniani unateseka na maisha Ili Hali Kulikua na uwezekano ubaki huko huko au mwenzetu ni alien umekuja kama agent kutokea huko mbinguni Kwa special mission isije tukawa tunabishana na kiumbe wa anga za juu hapa!
Anyway
Bwana mkubwa we are son of Earth hakuna mahali panaitwa mbinguni utaenda funguka akili Kama ulizaliwa hapa,ukasurvive hapa na utafia hapa Duniani usitegemee Kuna sehemu outside the world utaenda funguka wanakudanganya na Hizo propaganda utateseka Bure aisee!
Kama kabla hujazaliwa hukuwa sehemu yoyote,usitegemee baada ya kifo utaenda pahali
Thubutuuu!
 
If you think that statue arouses awe and horror then go read the Bible conspiracy verse 2chronicles 9:13

There is a lot yet to see!
 
Nyie watu mnavituko Sana Eti Duniani sio kwetu,kwetu mbinguni,Hivi Hizo hekaya nani hua anawaaminisha ?
Kama Duniani sio kwenu kwanini uliletwa hapa,kama ungekua mkazi wa mbinguni nadhani ilikua Haina haja ya kuwa Duniani unateseka na maisha Ili Hali Kulikua na uwezekano ubaki huko huko au mwenzetu ni alien umekuja kama agent kutokea huko mbinguni Kwa special mission isije tukawa tunabishana na kiumbe wa anga za juu hapa!
Anyway
Bwana mkubwa we are son of Earth hakuna mahali panaitwa mbinguni utaenda funguka akili Kama ulizaliwa hapa,ukasurvive hapa na utafia hapa Duniani usitegemee Kuna sehemu outside the world utaenda funguka wanakudanganya na Hizo propaganda utateseka Bure aisee!
Kama kabla hujazaliwa hukuwa sehemu yoyote,usitegemee baada ya kifo utaenda pahali
Thubutuuu!
Yes,very ignorant!Sawa,it is obvious that we are children of two very different Kingdoms,wewe kaa na yako na mimi nikae na yangu,only time will tell who is correct.

Lakini let me tell you this:yourself,the World and the Universe in general proves that God,the Almighty,is real,kinachokusumbua ni kiburi cha uzima.

Common sense tells me this,ni afadhali kuamini kwamba Mungu yupo usimkute,kuliko kuamini hayupo,halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
 
hata Mimi nakuona very ignorant kuamini Ngano na mapokeo ya wayahudi Ili Hali wewe ni pure black man,
Umepotea mwamba sikufichi hujui unachokiamini unafuata tu mkumbo,
Pili huyo Mungu unaemsemea hayupo,hajawahi kuwepo na hatakuja kuwepo just ni fiction zinakuzuzua tu na ushakua brain washed
Wake up dude!
Unaota ndoto mbaya Sana unateseka Bure tu mtu wangu
Kua free utaujua ukweli na utakuweka huru!
 
Mimi sio Msabato kwa kuwa Usabato is a cult,na siwezi kuwa member wa Cult.

Mimi ni mpita njia duniani,ambaye niko committed kuwaeleza Wanadamu ukweli ambao wameukosa na kuambiwa uongo katika almost mambo yote yanayowahusu for millenia.
Wewe umejuaje huo unaotuambia ndio ukweli na sio matango pori tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom