Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Mimi nakiri kabisa punyeto kuiacha ni maamuzi tu.. yani sema tu Naacha! Na moja ya sababu ya kuacha iwe ni matatizo inayokupa.. ubakumbatia vipi bomu ?
 
Samahani mkuu, si unajua natuma ID mpya na nina majukumu mengine na nimejibu niliyoweza.

Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.
Na majuzi hapa huo niliona mtu amepost humu MMU.

Iko hivi.
-Nilianza kutumia tangawizi karibia kwenye vyakula vingi. Tangawizi inasisimua misuli. Nikatimia na asali na mdarasini, na matunda.

- Zoezi lilihusu kuipa nguvu misuli iliyolegea kwa kujichua. Kujichua kunaifanya misulikukosa nguvu.
Nakuwa nafanya zoezi kama vile la kuzuia mkojo. Yaani kama vile imebanwa na mkojo lakini unavuta msuli kuzuia. Sasa nimekuwa nafanya hivyo mara kwa mara, niwe ofisini, nyumbani, popote. Halafu nakuwa kama naufanya uume usimame mara kwa mara huku nikiendelea na vinywaji vyangu mara kwa mara. Kama una nafasi nzuri ongeza na mazoezi ya viungo.
Baada ya kufanya hivi mara nyingi takribani miezi kadhaa nikaanza kuona matokeo na ikaanza kuridhisha.
Kuna mtu alileta uzi huo humu naomba atusaidie
Bro ulichoongea hapo ndo tiba sahihi .Tangawizi ,mdarasini,karafuu, asali mbichi na maziwa fresh,green Vegetables , plenty of water , exercises,exclude porn associatives things ,busy mind and positive altitudes every moment without forgetting proper daily schedules of your activities .Within 3 to six months hata kama umefanya masterbation for 20 yrs utapona na utakuja kushukuru hapa .Usidanganyike na Viagra au utapeli wa kina dokta mwaka .
 
Kwanza nimeamua kutumia ID mpya kwa ajili ya kusema hili suala.

Asante leo nimeamua niseme ukweli wangu huenda ikasaidia wengine.

Kwanza nikiri wazi nilikuwa muathirika mkubwa wa kujichua kwa miaka 17, hadi ikafika kipindi nikawa natamani cheo cha mwenyekiti wa CHAPUTA.

Nilianza huu mchezo mwaka 1999 nikiwa namalizia darasa la saba huko Mwanza. Kuna siku tulikuwa na rafiki zetu waliokuwa wakubwa kwetu kidogo basi kumbe ndio mchezo wao na kwa ukaribu tuliokuwa nao nikajikuta naanza kujaribu na kweli ilikuwa raha sana basi ikawa ndio tabia yetu.

Nikaenda form one basi huko nikakutana na team nyingine hadi tukawa tunashindana kupiga mabao, hata mara 2-3 kwa siku na hiyo ni tofauti na ile individual game. Ukweli niliathirika sana sana, na huo ukawa mchezo wangu mara zote hadi namaliza form 4. Nilipofika form 6 Tosa boys kwakweli nilijikuta mimi ni mwanafunzi kwa wale niliokutana nao, tulifanya kujichua sana na hayo yakawa maisha hadi namaliza A-level, nikafika chuo sasa ndio balaa nikawa sitamani tena wanawake.

Hapo nikaanza kuliona tatizo, ingawa uume kulegea nilianza kuona mapema kidogo nilipokuwa Tosa. Nilikuwa najichua kwa kutumia kila style name kila mafuta. Kuna kipindi nilitamani kujua ukijichua huku umevaa kondomu inakuwaje, basi nikawa navaa kondomu halafu najichua, kwakweli nilifikia pabaya, hadi nikawa nikikaa shahawa zinajitokea zenyewe tu.

Turudi kwenye kukosa hamu na wanawake, sikutamani kukutana na mwanamke, kwanza sikuwa na hisia nao. Lakini nilipokuwa nakutana nao mara chache basi nilikuwa nawahi sana kumwaga shahawa, yaani ni dakika zisizozidi 2-3 na baada ya hapo siwezi kurudia tendo hilo tena, yaani uume hauwezi kusimama tena hadi uuimbie wimbo wa taarabu iliyochanganywa na dumange ni kazi bure. Nilianza kujisikia vibaya nikaogopa kuwa na msichana ila nikahisi nikifanya mara nyingi huenda uume utazoea lkn wapi ikawa kazi bure.

Hapo niko chuo bado. Sasa ili kuogopa aibu sikutaka kuwa na mtu wa kudumu ili kuficha tatizo. Nikaanza kununua machangudoa maeneo mbalimbali ya mji na kwakuwa nilikuwa namwaga haraka basi nilikuwa sifurahii tendo na huku mimi nikitaka nifurahie. Basi nikawa napiga punyeto kabla sijaenda kununua ili angalau nikifika nichukue hata dakika 5 na hapo kujichukua kukaongezeka.

Yaani kuna kipindi nilikuwa najichua sehemu yoyote niliyopo. Nikiingia public toilet najichua, hadi wakati mwingine nikiwa kwenye daladala. The situation was worse jamani. Nikamaliza chuo nikakaa miaka miwili nikaamua nioe angalau niache lakini ilikuwa balaa maana kuna wakati nilikuwa napiga punyeto chooni huku mke wangu akiwa amelala au kuamua kupiga punyeto ili nikienda kwenye game basi nidumu hata dakika 5 lakini nilikuwa sifikishi na uume kulala. Mke wangu akawa haridhiki, nikaamua kupunguza na kujizuia lakini baada ya muda narudi kwenye CHAPUTA. (Hiki chama cha CHAPUTA ni kama Freemason tu, members wako kimyaaaa).

Kusema kweli mke wangu naye ni mzembe kitandani hiyo ikanisaidia kidogo. Kuna kipindi mwaka 2015 nikaanza kujifunza kuacha lakini mke wangu akawa hapendi sex mara kwa mara nikajikuta narudi CHAPUTA bila kumtaarifu mwenyekiti. Nikaona isiwe shida nikatafuta mchepuko na kwa sababu sikuwa na uzoefu nilikamatwa fasta maana sikujua mbinu za kijeshi.

Kwahiyo hapa mke wangu alikuwa sababishi la mimi kujisalimisha kwa mwenyekiti wa CHAPUTA na kwenda kwa mchepuko ila hili suala lina usiri mkubwa mno na ndio maana hata mimi mkongwe simjui mwenyekiti alikuwa nani. Na naamini wapo wengi humu.

Mniwie radhi thread inakuwa ndefu ila acheni niseme yote kabisa. Nikaanza kuwa msomaji wa post za members want chaputa humu na wengine wakielezea jinsi walivyoacha na wengine kushauri kutumia madawa ya kemikali na wengine vyakula na wengine mazoezi.

Jamani hali yangu ilikuwa mbaya sana hadi sehemu ya uume kwa chini ikawa imebadilika rangi kwa kujichua, ndoa ilikuwa pabaya, msongo wa mawazo ukawa kama nimeunganishwa na kifurushi cha mwezi kinachpjiongeza automatically kila kinapoisha muda wake.

Niliazimia kutatua tatizo, nikaanza kujiuliza nafanyaje, kumbuka nilikuwa mateka kwa miaka 17. Nilianza kujaribu na kushindwa mara kadhaa mwaka 2016. Lakini mwaka huu mwanzoni nikakutana na post kwenye blog moja inaelezea jinsi kurudisha nguvu iliyopotea bila kutumia madawa.

Kwahiyo nikasema naacha na natoka CHAPUTA. Nikafuatilia maelezo ya ile post ambayo pia nimeona imerudiwa.Hii ni ya kurudisha nguvu ya uume uliolegea na kukosa nguvu kwa sababu ya kujichua.

Hii ni ile ya kama unavuta misuli kwa kuibana yaani kama unataka isimame, nikaanza mazoezi hayo muda mwingi kila ninapokuwa. Nikawa narudia mara nyingi halafu nikabadili vyakula nyumbani bila wife kujua mkakati wangu.

Nikaanza kuwa nakunywa chai yenye asali, mdarasini, na tangawizi vya kutosha, na hata niwapo ofisini ikawa ni lishe yangu huku nikiendelea na lile zoezi. Nikawa nakula matunda vzr tu.Kwakweli nilikusudia kutoka CHAPUTA.

Baada ya miezi mitatu nikaanza baada ya miezi mitano na miezi mitatu ya hili zoezi na hii dozi nikaanza kuona mabadiliko na kwakuwa najua wife mzembe basi nikaamua kuchukua mechi ya kirafiki.

Kwakweli sikuamini, nilipiga shoo ya maana nilimwaga baada ya dakika 10 halafu nilivyomwaga haikulala,shoo ikaendelea nikapaa ya pili kwakweli binti ikabidi aombe kupumzika lakini ndio kwanza imesimama wima hata ukiweka taulo inaning'inia tu,yaani unaweza kuvua suruali ukaitunda juu yake.

Na hii hali nilianza kuihisi kwa wife na baada ya shoo ya ugenini nikarudi kwa mchovu wangu ambaye alinizoea vibaya. Ebana eeeh kidogo akimbie siku hiyo. Nikaanza kurudisha confidence iliyopotea,nikawa na hamu sana na huku nikiendelea na tiba kama kawa.

Hivi sasa nina hamu sana jamani, yaani sana tu, hata kama kuna mwanadada member wa MMU anataka kuthibitisha hili basi aje tu inbox, nipo tayari kumuonesha hili.

Nimeamua kusema maana najua wahanga ni wengi na haya mambo yanafanyika kwa siri sana lakini tukiamua kuacha na kurejesha nguvu zetu zilizopotea inawezekana kabisa.

Kama mimi nimeweza kutoka kwenye hili janga basi nawe unaweza.Amua leo.Labda niwaambie tu kuwa waathirika wa kujichua sio wanaume peke yao bali wapo wanawake wengi pia na leo ndoa zao zinaathirika maana hawana hamu ya tendo la ndoa kutokana na kujichua.Tuvuke kizingiti cha Ukimya

Am sorry kwa thread ndeeefu ila sikuwa na jinsi.

~Nimepona~
Thanks
 
Stori ndefu.. inshort wewe Ni mgonjwa usisingizie nyeto watu tuko mzigoni toka idd Amin atuvamie mpaka Sasa tunaendeleza
 
Hata huyu wangu huwa ana hizo pigo eti akijickia yeye ndo akuletee asa huo ni utopolo gani
Kwel kwa hali hii upinde utadumu na kudumu. Inaonekana kuna Irresponsibility nyingi sana kwa upande wa Wanawake. ndio mana Hayo ya upinde yakatokea kwenye hiyo loop. Ili kuokoa jahaz la wanaume.

Nikikaaga huwa nawaza mengi.
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom