Nilifanya hy kazi kwa muda wa miaka 13 na uwezo wa kufikiri ulipungiua performance yng shule na chuo ilipungua,mwili ulidhofika sn lkn namshukuru mungu nina miezi 5 sasa cjapiga punyeto nguvu za kiume zimekuja lkn bado nina tatizo la kumbukumbu nakua sina vyema lkn matumaini yng soon nita_recover
 
utarecover mkuu
 
Punyeto haina madhara kihivyo, nimefanya sana kipindi nikiwa Secondary baada ya kumuona mjomba wangu akiugua ukimwi kipindi hicho hata dawa za kurefusha maisha hazipo. Nikaona njia mbadala ni punyeto,nikaenda Zanzibar huko nako nikaogopa kusilimishwa kwa kutembea na mademu wa Zenj hivyo mwanaume nikakomaa na punyeto zaidi hata ya hiyo miaka. Nimekuja kupunguza baada ya kuoa na show napiga kama kawaida na michepuko kibao hadi nje ya nchi. Umesema hormones zako zimeonekana za kike ziko juu!! Nakuombea mungu upone usijeanza kuvaa high-waisted jeans
Shukuru mungu!! Haya nayoyasema sikutunga Mimi pia nilikua kama ww watu wakisema Ina madhara mi nasema huu mwaka wa NNE napiga sioni madhara.. Kumbe madhara yake ni ya muda mrefu. Sasa baada ya miaka 10 kwenye gemu naona na ninajuta. Kipindi ambacho ni haki yangu na wajibu kupata mpenz tukaridhishana Mimi imekua vice versa.. Na ubaya wake nilichokiona kupona inahitaji rehab kama ya unga tu
 
Doh, wewe inapaswa uwe mlezi wa CHAPUTA. Maana ushavuka vigezo vya uwenyekiti na ujumbe wa bodi.

Bro, you are speaking almost 30 good years in bussines.
hahahahahha mewenyewe nilijua nipo kwenye game mda mrefu kumbe kuna ndugu yangu kaanza miaka ile bado shilingi moja inafanya kazi.
 
Chama cha wapiga punyeto tunakemea taarifa za uongo kama hizi.

We Huna kazi na matatizo ya kimaisha yamekuelemea alafu unasingizia punyeto imekuathiri ebooooo
 
Hayo madhara yako hayasababishwi na puli, afya yako tu imedolola kwa sababu ya vyakula na life style yako. Mimi nimepiga puli toka mwaka 1987 hadi leo sijaacha sema tu nimepunguza sana, yaani sijawa mtumwa kama zamani. nilikuwa na uwezo wa kupiga hadi bao nane kwa puli wakati nipo teenager. sasa ivi naweza pitisha miezi bila kugusa kwa vile wife anatosha. sidhani kama nimeathirika kwa vile mashine inauwezo wa kutosha na matamanio ya haja kwa wanawake wazuri kama kawa, napiga mashine hadi wanawake wananikubali.
Mkuu....hivyo mwaka huu utakuwa na anniversary ya kupiga puli miaka 30!!!!haaaa haaaa haaa!!
 
Hili swala la punyeto limekua ugonjwa wa taifa siku hizi mwanzo nilidhani ni peke yangu tu lakini Siku hizi kila mwana jf naona anatafuta tiba mbadala baada ya kuathirika ama kupata madhara yasabishwayo na punyeto. Mimi mwenzenu sina furaha ya maisha na msongo wa mawazo tu maana mpaka leo siijui ipi tiba ya matatizo niliyonayo. Nmekua mpiga punyeto mashuhuri kwa miaka takribani kumi ila niliiambiwa Ina madhara nikapuuza kwa maana sikuyaona. Kumbe madhara yake ni longterm effect yaani ya muda mrefu. Kama kuna MTU anapiga nyeto namshauri aache haraka maana ni kama unga Ina addiction. Mimi sasa hivi sina sifa ya kuitwa mwanaume kwa maana jogoo halipandi mtungi. Wanawake wote wanaishia kua mashemeji zangu tu. Nmeamua kujitenga nao, sio kama napenda ila nitafanyaje. Utajiujuaje kama umeathiriwa na punyeto??
Haya ni baadhi ya madhara ambayo hayatoki Google wala site yoyote ila ni kwangu ambayo yamenitokea.
1. Kupoteza uwezo wa kufikiri
2.kupoteza nguvu za kusimamisha uume
3.uume na korodani kusinyaa(uume unakua kama mtoto pumbu zinashuka kama mzee
4.shida ya mkojo maana kukojoa inabidi usikilizie kama sekunde 3 au 4 ndo mkojo utoke
5.kupoteza kumbu kumbu hata kama kitu unakifanya sasa hivi unasahau muda huo huo
6.kuota kipara au kiwalaza wakati bado una umri mdogo
7.maumivu ya korodani
8.kuhisi umechoka muda wote na mwili kukosa nguvu.
9.kua na mwili wa kizembe yani unakua na manyonyo mtoto wa kiume
10.kupata wakati mgumu kwenye kulizngatia japo(low concentration)
11.msongo wa mawazo (ambao nimesikia unaathiri vitu vingi)

Kwa ufupi sina furaha ya maisha kabisa. Naona umri unaenda ila mi kazi yangu kulala na kuamka. Sina kazi sina elimu na familia yangu ndo vile mwenzangu na mie, naona kama majanga yote ya dunia nimeshushiwa mie. Nawasihi ndugu zangu hizi herbal clinic mnazosikia ni wapiga pesa tu nishaenda kwa dokta mwaka, mandai na tanzaone herbal clinic ila Hamna kitu. Nishawahi kupima hormone hospitali ila nkashindwa gharama za matibabu. Nilikutwa na hormonal imbalance yani za kiume ziko chini halafu zile za kike zipo juu wakat mimi ni mwanaume. Siombi msaada wenu kama watu wengine maana hakuna mwenye uwezo wa kunisaidia, ila nachokitaka tu ni nyie msambaze Ujumbe huu uwafikie watu wengine ambao bado hawajaanza kuona madhara niliyoyataja hapo juu ama kuwakanya kabisa vijana wenu. Na chanzo kikubwa cha mapunyeto ni filamu za x na kuogopa au kuwaonea aibu wasichana.. Filamu za x zitaendelea kutumaliza hasa kizazi hiki cha smartphone.
Hongela
 
wengine mbona tunapiga hii kitu tangu tukiwa teenager lakini hadi leo ni mzazi wa watoto 5 na bado jogoo yuko poa tu!

halafu kama unapiga sana ulabu na kubwia vitu vyenye sukari kwa wingi...wafwaaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom