Punyeto inanimaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Punyeto inanimaliza

Discussion in 'JF Doctor' started by faszar, Sep 10, 2012.

 1. faszar

  faszar Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tafuta GF hayo ndo mambo ya colleage boys
   
 3. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Lete Tundu yako nikukeep Bize nakuhakikishia hutathubutu tena iyo kitu,ni Pm tuwasiliane
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Ulaaniwe, ufe una faida gani duniani, uchafu mtupu! Ulaaniwe tena na tena, shetani mkubwa Lusiferi mwana haramu!
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 786
  Trophy Points: 280
  Ameomba mshauri, tumpe wa kumjenga maana tabia hiyo haifurahii na ameshasema. Kumpa maneno makali si kumjenga.
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  We dada unamshauri nini? Nilikuwa nakuheshimu sana pamoja na kuwa sikufahamu, but you were very sensible in your posts, sasa unanitia mashaka! Unamuelekeza, nini? Atafute GF, are you ready to offer binti yako? Mkuki kwa nguruwe.!!!
   
 7. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,572
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  JAMANI JAMANI LAANA NA TOPIC MBONA HAVIHUSIANI HAPA?
  Ndugu yangu wewe uliyetukana kwa mwenze2 huyu anayehitaji msaada Tafadhari mwombe msamaha Mungu wako, na mwenzetu huyu kwani hukupaswa kusema maneno mazito ya kumwombea kifo mwenzio. USIHUKUMU KABLA HUJAHUKUMIWA.
  Tafadhari fanya hivyo ikiwezekana mbele ya wanajamii na mbele za Mungu wako.
   
 8. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Hapana huyu mtu ni hatari kesho atabaka watoto. afadhali afe, ana faida gani ! dunia ya watoto wadogo ipone. Atabaka! Kesho ataamua kufanya zaidi ya huo upuuzi!
   
 9. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,320
  Likes Received: 2,944
  Trophy Points: 280
  usijione malaika....wala ajaomba matusi
   
 10. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,320
  Likes Received: 2,944
  Trophy Points: 280
  dogo! Jitaid kujkp busy...fanya mazoez sana, dawa kukwa ni mazoez, kwa wng..pia jiepushe na vshawish kama picha za ngono
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Usitetee uovu. Huo upuuzi ni uovu mkubwa. Mimi sio malaika, lakini huo upuuzi auweke siri yake! Kesho atabaka alipofikia!
   
 12. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,103
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Tumuulize kwanza raha gani hua anapata kabla hujamlaani?
   
 13. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,572
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Anahitaji ushauri, siyo laana hatupo duniani kumwombea mtu laana, ila kubadilisha mtu kutoka kufanya mabaya kufanya mema.
  NARUDIA TENA KWA HEKIMA, NAOMBA UMWOMBE MSAMAHA MUNGU KWA KUMWOMBEA MWENZIO KIFO.
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,844
  Likes Received: 6,694
  Trophy Points: 280
  Ulaaniwe ufe ugongwe na gari....shwain wewe.
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Hapana, siombi radhi, ni kuendekeza upuuzi! Huyu atabaka. Akimbaka anaye,kuhusu utasema tumwombee!
   
 16. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,981
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Panga Ratiba Yako.......
  fanyakazi, au soma sana, nenda library, meki shua unakaa mezani ukisoma masaa mawili kwa bidii, ukitoka kazini au darasani, panga ratiba ya library na ya mazoezi, na
  hakikishaunasali-omba dua kila siku dakika 5 tu

  mazoezi: hapa zoezi liwe gumu...anza polepole

  1. kukimbia, pushapu, kuruka kamba, 30 saa kila siku.
  2. unyew maji mengi zaid ya litre3 kwa siku.
  3. usisahau kufanya zoezi la viungo ukiwa umekaa kila baada ya mazoezi
  faida:

  • utachoka kwa hiyo ulalala vzr,
  • hutakuwa na muda kuwaza sex, maana ndio chnzo
  • usiwaangalie wanawake, shusha us wako ukiwaona, usipende kukaa nao karb
  • utafaulu
  • utapata kaz nzur
  • utaoa
   
 17. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Faszar, kuna njia mbili:
  1. Jikeep busy na mambo ya msingi kama kuangalia vipindi vya television, kusoma vitabu. Chochote kile ambacho ni constractive na ambacho kitaocupy mind yako. Acha kuangalia picha za kwenye mitandao kwani huwa zinapandisha hisia bure. Acha kukaa kwenye vikundi vyenye watu wanafurahia jambo hilo. Ukiwa kwenye net soma mambo mengine picha za ngono ni one of things zinazokupeleka zaidi huko. (Haya ni mazoezi unayoweza kufanya binafsi).

  2. Kuna mwingine hawezi peke yake mpaka apate guid. Siku hizi wapo washauri wazuri tu na watakuongoza. Tumia viongozi wa dini, madaktari au mtu unayemwamini atakuongoza. Watakupa mazoezi na mambo ya kufanya.

  Nakuhakikishia utaweza kama ukiwa serious. i am talking through experience kwani hiyo ndio shetani yetu sisi vijana wa miaka kati ya 15 had 30th.
   
 18. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Hapa anachokipata sio hoja, ni hicho anachokifanya na kukileta mbele ya watu eti anaomba ushauri. Huyu mtu ni hatari, kesho atabaka!
   
 19. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,103
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Sikushauri uwe na gf ila kwanza ichukie kwa dhati pia jaribu kuondoa mawazo hayo kama utashindwa nibora kua gf kuliko huyo mpenz mkono
   
 20. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha ushamba wa kuhukumu watu hivyo, msaidie nawazo kama huna kaa kimyaa kuliko kumtusi tena mbaya zaidi unamuombea laana, peleka mbele ulokole wako wa kuiga wewe. Umeniboa sana baada ya kumjenga huyu mtoto unazidi kumbomoa. Non sense
   
Loading...