Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

Hii habari imekaa kiuchochezi, kuacha nyeto ni udhaifu!

Penzi binafsi nililianza nikiwa form5 mzumbe sec, sijawahi kujuta ila nilijilaumu sana kuchelewa kulianza.

Jioni tulikuwa na kakikundi chetu cha Chaputa kipindi hicho uenyekiti alikuwa anakaimu Mwaja kabla ya mwenyekiti Makayula kurejea nyumbani.

Nakumbuka sabuni ilikuwa ikiisha afu ndo hamu ishakuja basi unatoka class unaenda kuchukua hata kiwi unaenda kumbrash mjamaa mpaka atapike.

Madiba ndo alikuwa anatumia mpaka sabuni ya unga
 
..ilo gobore halijapindaaaa...manakee nasikia moja ya madhara ya pu...ny.to ni kupinda kwa gobore halisimami wima
 
Kwangu mi madhara yanakuwa kinyume na wengine. toka nimeanza huo mchezo mwaka wa saba huwa nachelewa sana kufika kileleni. Hadi huwa namhurumia yule wangu kwa kuchelewa mwishoe nakuwa kama namkomoa hivi. Hamu ya kurudia ndo inakuwa kubwa
 
Hongera Lakini Mbona Inasemekana Kuwa Ukitaka Kukaa Muda Mrefu Kwenye Rounds, Inabidi Upige Punyeto Kwanzaa

Hizo Mdalasini, Asali, Limao Na Blah blah blah Ni Kweli Pia Vyakula Natural Kama Dona Na Kadhalika... Ambavyo Havina 'Mazara' Mafuta Mafuta, Processed...
 
Hakuna wa kunishauri niache punyeto... Hayupo


Yoyote atake ni quote na kunipa ushauri wa kuacha punyeto namlamba blacklist
Kwa nini waziri,ipo siku utaacha tu,unakuta kajukuu kako kapo chaputa na wewe babu chaputa aisee kupiga punyeto ni kujikosea mzee baba,
 
Hahahaah mabaharia tunakwambia hiyo ni transition period.
Dawa yake ni kuoa au kuishi na mpenzi bhaaasi. Vinginevyo utaanza tu Labda uwe mgonjwa
transition period hua haikwepeki unaweza ukastop hata Kwa miezi miwili ila siku ukija kuliamsha dude unaweza piga asubuhi Na jioni
 
Punyeto ni salama na ina faida nyingi. Kila mwanaume lijali anahitaji sex walau mara moja kwa wiki.
Inakoa uchumi, muda, unaweza sex kwa hisia na mwanamke yeyote muhimu picha yake.
Ni tulizo kwa walio mazingira magumu vitani, jela, shule,hata safari.
Inasaidia kupunguza sperms vinginevyo utachafua chupi,mashuka.
Unapunguza fedheha mwanaume kujiona mpweke akiona wadada asiowamudu, ni kuvuta picha tu bora wazungu watoke.
 
Kuna kipindi nilikuwa Advance, nilibanwa kwelikweli na genye ikabidi nipige nyeto.... Basi usiku tumbo liliniuma nikaaanza kuharisha balaa mpaka Kesho yake, yaani mharo wa hatari plus tumbo kuuma balaa tangu siku hiyo mimi punyeto hapana aiseee
Hizo ni dalili za "Henia/Ngiri" au "Tezi dume" mwanangu. Nenda Kamwone mtaalamu wa Afya.
 
Hakuna kitu mzee ni ile punyeto ndo ilisababisha ni miaka zaidi ya 10 imepita
Kweli nakwambia madhara ya Punyeto hayajinasibishi ndani ya siku/usiku mmoja......Ukiijua vyema Ngiri na "gubu lake" utaujua ukweli na utaamini.
 

Similar Discussions

31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom