Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Takribani miaka mitano nilikuwa napiga punyeto lakini kwa sasa nimeacha rasmi na kwa kweli namshukuru Mungu nimejitoa kwenye chama cha wapiga punyeto.

Enzi hizo nilikuwa nikikaa sehemu na nikimuona msichana mrembo ( bonge) aliyevaa dera akipita, naondoka na picha yake kichwani , usiku ukifika naingia bafuni au kitandani naanza kuivuta ile picha ya mrembo machoni na ubongoni kwangu naanza kupiga punyeto.

Madhara niliyoyapata kwa kipindi hicho ni kwamba nilikuwa nikimtongoza msichana lazima wadhungu watoke kabla ya hata hatujaanza mechi, na hata mechi ikianza tu ,ndani ya sekunde 2 wadhungu wanatoka, yaani ilikuwa ni aibu, kuja kuliamsha dude tena mpake kesho yake.

Na ilifikia point ili niliamshe dude katikati mwa mechi ilinilazimu kuvuta picha ya msichana mrembo iliyeko kichwani mwangu, tofauti na hapo mambo yalienda kombo na niliishia kuaibika.

Mara baada ya kugundua nimeathirika kisaikolojia na kimwili, nikaanza tiba.

Tiba yenyewe ilikiwa ni kupiga mazoezi kila siku jioni, kunywa maji mengi, kuchwa chai iliyotiwa tangawizi+ limao+ mdarasini na asali, kula mbegu za mamboga, karanga na ndizi.

Kwa kweli nashukuru kwa sasa nimekuwa lijali, dude linasimama wima, na hata nikiwa na mrembo ndani uwezo wa kusimamia show bila tatizo ninao.

Vijana acheni punyeto kama mnataka heshima kwenye ndoa
 
Kuna kipindi nilikuwa Advance, nilibanwa kwelikweli na genye ikabidi nipige nyeto.... Basi usiku tumbo liliniuma nikaaanza kuharisha balaa mpaka Kesho yake, yaani mharo wa hatari plus tumbo kuuma balaa tangu siku hiyo mimi punyeto hapana aiseee
 

Similar Discussions

31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom