Uko ndiko kuchapa kazi anakotwambia Songoro?
Lakini si kila mtu ana uwezo wa kuipa (sorry kuchapa kazi) Mwalimu atachapa kazi kivipi, auze chaki ambazo hafiki zenyewe shuleni? daktari awatoze wagonjwa rushwa ili wapate matibabu? nesi hasiwachome sindano wagonjwa na kuwaosha vidonda mpaka apate chochote? Kweli kuchapa kazi kunawezekana kwa Polisi kwenye viwanja vya ndege ili watu wenye unga wapite kirahisi, Hakimu na judge, watu wa fedha na procurement, watu wa kutengeneza mikataba na wawekezaji, hao wanaweza kucha kazi[
QUOTE=Chintu;9803410]...Kweli mkuu tuache kulalamika. Hebu ona Ridhiwani alivotoka fasta baada ya kuanza "biashara" mzee alipoingia ikulu. Angalia Chenge alivotoka baada ya kutununulia RADA ya kutuangalizia ndege mbinguni. Na sasa kuna ESCROW - hapo jamaa wasipotoka tutashangaa![/QUOTE]