punguzo la bei msimu wa krismasi na mwaka mpya.

kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,336
681
Ni kwa nn maduka meng na makampun makubwa ya mauzo hutoa punguzo kubwa la bei kpnd cha skuku ya krismas na mwaka mpya kuliko kipindi kingne cha skukuu kama vile mfungo wa ramadhan na iddi?hata makampun ya din nyngne hutoa ofa kpnd cha krismas kuliko kpnd cha skukuu za din zao,ina maana ofa hiz haziwahusu na ni za wakristo peke yake?naomba tu kujua.
 
Ushaonyesha wazi unaulimbukeni wa kidini na usipobadilika hata maenndeleo kwako itakuwa shida
 
Ushaonyesha wazi unaulimbukeni wa kidini na usipobadilika hata maenndeleo kwako itakuwa shida

maendeleo ya aina gan hayo,nibadilikeje?acha bang na viroba,vitakupeleka pabaya.
 
Ni kwa nn maduka meng na
makampun makubwa ya mauzo hutoa punguzo kubwa la bei kpnd cha skuku ya
krismas na mwaka mpya kuliko kipindi kingne cha skukuu kama vile mfungo
wa ramadhan na iddi?hata makampun ya din nyngne hutoa ofa kpnd cha
krismas kuliko kpnd cha skukuu za din zao,ina maana ofa hiz haziwahusu
na ni za wakristo peke yake?naomba tu kujua.

Kawaulize wenyewe watakupa jibu ingawa swali lako hujalifanyia utafiti wa kutosha inaonyesha umekurupuka.
 
Back
Top Bottom