kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 681
Ni kwa nn maduka meng na makampun makubwa ya mauzo hutoa punguzo kubwa la bei kpnd cha skuku ya krismas na mwaka mpya kuliko kipindi kingne cha skukuu kama vile mfungo wa ramadhan na iddi?hata makampun ya din nyngne hutoa ofa kpnd cha krismas kuliko kpnd cha skukuu za din zao,ina maana ofa hiz haziwahusu na ni za wakristo peke yake?naomba tu kujua.