Punguza marafiki wasio na manufaa

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
769
845
PUNGUZA MZIGO, PUNGUZA MARAFIKI FEKI PUNGUZA KABISA TENA WAPUNGUZE SANA TU;WAPUNGUZE ILI UWE MWEPESI

Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao umeongea nao kitu mkiwa wawili mwisho wa siku unakikuta kimeenea sehemu nyingine. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wako right kila siku wenyewe hawataki kuambiwa wamekosea. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wakija kwako wao urafiki unahamia kwa mumeo au mkeo aliyekaa sebuleni wakati wewe kakuacha nje. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wanakuwa na urafiki na maadui zako kwa ukaribu zaidi. Punguzaaaa!

Punguza marafiki wa kwenye raha tu ukiwa na shida unajikuta peke yako. Punguzaaaa!

Punguza marafiki wanaokusifu huku wakijua umekosea. Punguzaaaa!

Punguza marafiki waongo waongo...Punguzaaaa!

PUNGUZA MIZIGO ISIYOKUWA NA UMUHIMU
 
Hiyo ya rafiki anayehamia sebuleni anakuacha nje ni kali kabisa. Ila zipo sana hizo. Ukiweza kuwa cut off marafiki as much as possible ni sawa. Wengi ni fake.
 
20 GOLDEN RULES FOR VISITATION.
1. Always call before visiting.
2. Kindly remove your shoes before entering ones house, you dont clean it.
3. If you're from the rural, kindly carry some chicken, fish, beans or other produce. Cost of living is high.
4. If in the same city, try visiting after meal times, observe family budget.
5. If whoever you want isn't in, go back..stop entertaining the spouse or the maid.
6. If you must go for a long call, kindly flush and leave the loo as clean as u found it.
7. Visit on your own, don't carry groups to someone's house.
8. Take your complicated nonsense far away..I don't eat red fish, I'm allergic to starch etc. No one forced you here.
9. If you're an overnight guest...u must bathe.
10. If you have a running stomach..stay in your house.
11. Cease all stupid questions....have you completed mortgage, is that your landlord, how much was this carpet.
12. When serving food do not overload, u're not the only hungry soul.
13. Don't confuse the household claiming you're full n satisfied n can only taste a bit....and end up tasting four full bowls.
14. As much as possible invite your host to your home as well.
15. Don't start haggling for the remote with your hosts kids. That's their home.
16. If your host assists u with an umbrella, raincoat or flashlight..kindly return promptly with gratitude. Do not keep.
17. When visiting a household with kids. Kindly carry for them some biscuits, sweets etc. These are proper manners.
18. If u do breakfast with your host, try your utmost best, not to do lunch,as well. They don't offer food relief.
19. If u're staying for overnight, you dont have to embarrass everyone by washing your underwear and hanging it like a flag in, awkward places...simply Rewind it until you get to your home.
20. Ensure that you help around. Dont wait for everything to be done for u.
21. Avoid this habits of changing radio or TV stations like you are at your place..... Be comfortable with whatever the host is watching or listening...
I hope we are together.
 
Hahahahha mkuu utajikuta umebaki pekee, nashauri badala ya kuwapunguza wapuuze tu na wasiwe karibun na wewe basi
 
d4423484c12b5dfc55fb0cb4f6234c16.jpg
 
Hahahahha mkuu utajikuta umebaki pekee, nashauri badala ya kuwapunguza wapuuze tu na wasiwe karibun na wewe basi
Ukiwapuuza watasema unadharau. Cut em off. That’s it!

Kwani ni lazima uwe na marafiki? Huwezi kukosa wachache. Lakini kama wote wako hivyo, cut em off! No need. What’s the point to waste time pretending?

Ukishindwa kuwa cut off, huo tayari ni udhaifu mkubwa na mbaya zaidi trust me!
 
Most of your friends if not all of them are just like that, ts them matter of time kuwajua, like you said "Cut em off !!!"
 
Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom