Pundamilia mwingine mwenye rangi tofauti aonekana hifadhi ya Serengeti

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Pundamilia aliyezaliwa na kuonekana katika hifadhi ya Taifa iliyopo Kenya Maasai Mara, na kutikisa vyombo vya habari kutokana na kuwa na rangi tofauti na Pundamilia wengine na kuwa kivutio kikubwa sana kwa ile rangi yake ambayo imesababishwa na mvurugano wa cells za rangi ya mwili wake yaani Pseudo-Melanism.

Pundamilia (Tira) yule ambaye alivuka mpaka na kuingia nchini Tanzania pamoja mama yake, katika ule mwendelezo wa uhamaji unaofanywa na wanyama mbalimbali kama Nyumbu, Pundamilia na baadhi ya Swala.

Hatimaye pundamilia (tira) mwingine mwenye rangi tofauti na pundamilia wengine amezaliwa na kuonekana kwenye hifadhi bora Afrika ya Serengeti na kuibua hisia za wengi..!

••Picha namba 2 na 3 ndo aliyezaliwa mbugani Serengeti..!
IMG_20191010_221246.jpeg
IMG_20191010_151953_374.jpeg
IMG_20191010_152026_872.jpeg
 
Pundamilia aliyezaliwa na kuonekana katika hifadhi ya Taifa iliyopo Kenya Maasai Mara, na kutikisa vyombo vya habari kutokana na kuwa na rangi tofauti na Pundamilia wengine na kuwa kivutio kikubwa sana kwa ile rangi yake ambayo imesababishwa na mvurugano wa cells za rangi ya mwili wake yaani Pseudo-Melanism.

Pundamilia (Tira) yule ambaye alivuka mpaka na kuingia nchini Tanzania pamoja mama yake, katika ule mwendelezo wa uhamaji unaofanywa na wanyama mbalimbali kama Nyumbu, Pundamilia na baadhi ya Swala, hatimaye pundamilia mwingine mwenye rangi tofauti na wengine ameonekana kwenye hifadhi bora Afrika ya Serengeti na kuibua hisia za wengi..!

Picha namba 2 na 3 ndo ndo aliyezaliwa mbugani Serengeti..!View attachment 1229239View attachment 1229241View attachment 1229242
Huyo siyo rangi tofauti bali ana ugonjwa wa ngozi
 
Ni muhimu kupata ulinzi ili kuwakinga kuliwa na wale predators..! Kwa ajili ya kuleta kivutio zaidi mbeleni..!
 
Yaan hii laana yote inasababishwa na CCM ipo siku tutamuona swala mwenye kichwa cha simba.
 
Subiri kidogo kwahiyo Pundamilia mama hakucheat kwa Swala dume?
 
Back
Top Bottom