Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Pundamilia aliyezaliwa na kuonekana katika hifadhi ya Taifa iliyopo Kenya Maasai Mara, na kutikisa vyombo vya habari kutokana na kuwa na rangi tofauti na Pundamilia wengine na kuwa kivutio kikubwa sana kwa ile rangi yake ambayo imesababishwa na mvurugano wa cells za rangi ya mwili wake yaani Pseudo-Melanism.
Pundamilia (Tira) yule ambaye alivuka mpaka na kuingia nchini Tanzania pamoja mama yake, katika ule mwendelezo wa uhamaji unaofanywa na wanyama mbalimbali kama Nyumbu, Pundamilia na baadhi ya Swala.
Hatimaye pundamilia (tira) mwingine mwenye rangi tofauti na pundamilia wengine amezaliwa na kuonekana kwenye hifadhi bora Afrika ya Serengeti na kuibua hisia za wengi..!
••Picha namba 2 na 3 ndo aliyezaliwa mbugani Serengeti..!