Punda wa Misry ni yule x2 wa Tanzania ccm kutawala miaka 34. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Punda wa Misry ni yule x2 wa Tanzania ccm kutawala miaka 34.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 6, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  Written by amini // 06/02/2011 // Habari // No comments

  Tanzania ni nchi moja nayo ilokuwa na utawala wa Monachy(kifalme)Punda ni yule yule Ccm kinachobadilishwa ni soji tu.
  Wanapolia Wtanzania na kudai kuandikwa kwa katiba mpya ni kutokana na utawalo mbovu wa sheria tulio nao nchin, nchi inanuka kwa Rushwa za mamilioni,uvunjaji haki za binadamu kwa kutumia nguvu ya dola,creminal na mauwaji ya kikatili na mikataba mibovu na viongozi kujilimbikizia mamali nje ya nchi huku raia wa Tanzania wakishindwa na mloo mojaa.
  Yote hii ni ubovu wa ccm kutawala kwa kipindi kirefu na kutumia vibaya madaraka kwa mzungumko wa uongozi wa hao kwa hao.
  Kwa hio Wtanzania wanahaki yakutafuta mbinu yoyote kuiangusha ccm na kulete mabadiliko yakwe kwa jamii ya Wtanzania, Hivi sasa upepo wa mabadiliko unavuma ulimwenguni na nilazima Wtanzania wamkke wende na wakati sio kila siku kuskia ccm na Makamba na wenzake wa Munachy.
  Kilicho tokea Tunisia,Egypt na Tanzania tutarejie kutokea Wtanzania wamechoshwa kama walivyo choshwa wa Misry na Tunisia kwa uongozi mpovu wa CCm wa miaka 34 mila kuondosha umaskini na kuwaletea maisha boro Wtanzania.

  [​IMG]Jk wimbi la Misry liko njiani kuingia Tanzania ukitaka usitake People power ipo.
   
Loading...