Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,822
watu8 umenifanya nicheke kwa kweliHao wengine naona sijui wanasubiria kupigwa picha???...mie hapo nilikua nishakimbia zamaaani kwenda kumleta baba yangu Mjeda
watu8 umenifanya nicheke kwa kweli
Yaani fimbo za elimu ya msingi zilinifanya niichukie kabisa kazi ya ualimu. Nimechapwa sana bila sababu ya msingi.maticha mbona walikua wanakoma...mzee anaingia na ndinga halafu anasindikizwa na MP kadhaaa...Mdingi anawaita maticha wote wanapanda mstari, halafu yule ticha mnoko anachapwa stick na wale maticha wenzake....wakigoma tu MP wanatembeza kichapo kwa maticha wote hadi Hedi masta
Yaani fimbo za elimu ya msingi zilinifanya niichukie kabisa kazi ya ualimu. Nimechapwa sana bila sababu ya msingi.
Nakumbuka nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu "kama mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, je giza ni nini?' na siku nyingine nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu wa English dagaa kwa kizungu wanaitwaje?
mie nilichapwa kisa jina langu mwalimu aliponiuliza jina akadhani namtania...
Mwalimu: Unaitwa nani?
watu8: Haunitishi Ondoka Sasahivi
Yaani fimbo za elimu ya msingi zilinifanya niichukie kabisa kazi ya ualimu. Nimechapwa sana bila sababu ya msingi.
Nakumbuka nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu "kama mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, je giza ni nini?' na siku nyingine nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu wa English dagaa kwa kizungu wanaitwaje?
unachekacheka nini sasa, ntakuchenjia ohooooooo:nimekataaNimechekeka hadi basi!!
unachekacheka nini sasa, ntakuchenjia ohooooooo:nimekataa