Punda haendi sharti kwa viboko

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,860
297763_352247071523080_131989462_n.jpg
 
Hapo unatolewa mfano kwa wengine ambao wanaangalia ili siku nyingine wasirudie,picha hii ina maana sana katika maisha ukiweza kutafakari kwa kina.
 
Poor boy alafu utakuta kosa kafanya mwingine kwani mwl. anataka kusika utetezi wako mboko kwa kwenda mbele.
 
Yaani kweli nisubirie mbata kama hizo
Hapo nishachapa lapa siku nyingii kwenda kujificha mtoni
 
Duh!Inaonekana huyu mtoto anahisi maumivu makali sana,hii inanikumbusha mbali sana.Enzi zile za giza nene!!!
 
Hapa kosa lake ni kutofunga vifungo vya shati! Nilikuwa namkimbia ticha mmoja yeye kazi yake kukupa fimbo za vigimbi, loh!
 
watu8 umenifanya nicheke kwa kweli

maticha mbona walikua wanakoma...mzee anaingia na ndinga halafu anasindikizwa na MP kadhaaa...Mdingi anawaita maticha wote wanapanda mstari, halafu yule ticha mnoko anachapwa stick na wale maticha wenzake....wakigoma tu MP wanatembeza kichapo kwa maticha wote hadi Hedi masta
 
Yaani fimbo za elimu ya msingi zilinifanya niichukie kabisa kazi ya ualimu. Nimechapwa sana bila sababu ya msingi.
Nakumbuka nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu "kama mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, je giza ni nini?' na siku nyingine nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu wa English dagaa kwa kizungu wanaitwaje?
 
mie nilichapwa kisa jina langu mwalimu aliponiuliza jina akadhani namtania...

Mwalimu: Unaitwa nani?
watu8: Haunitishi Ondoka Sasahivi
 
Hilo jina lazima ulipopewa ulipewa na hirizi yake kabisa, inayoitwa drivers software ili jina liweze kufanya kazi vizuri
mie nilichapwa kisa jina langu mwalimu aliponiuliza jina akadhani namtania...

Mwalimu: Unaitwa nani?
watu8: Haunitishi Ondoka Sasahivi
 
Yaani fimbo za elimu ya msingi zilinifanya niichukie kabisa kazi ya ualimu. Nimechapwa sana bila sababu ya msingi.
Nakumbuka nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu "kama mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, je giza ni nini?' na siku nyingine nilichapwa kwa kumuuliza mwalimu wa English dagaa kwa kizungu wanaitwaje?

Nimechekeka hadi basi!!
 
unachekacheka nini sasa, ntakuchenjia ohooooooo:nimekataa

Nimemcheka ticha ako kushindwa kukujibu kuwa Dagaa ni small fish..... hilo la giza hata mi ningekua ticha ningekuchenjia... huezi kua na maswali magumu kwa ticha ako...!!
 
Back
Top Bottom