sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,129
Kama zipi mkuu angalau 5 tupe
Yaan kuna kazi nyingine ukizifikiria utendaji wake unasikitisha Sana, kadiri unavotakiwa kuwajibika kazini ndipo unazidi kuingiza wenzio matatizoni,na lawama katika jamii, eg mahakimu n.kAlimhoji mtu mpaka akafa kwa press na alipokufa ina maana hukujali alijiona mjanja kumbana mtu mpaka umauti. Na mungu nae kambana watakutana huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh. Ngoja ninasubiri Mola wangu aseme
ilo ni kweli kuna afande namfahamu amesha muhoji mtuhumiwa hivi hivi akakata motoR.I.P, umesema aliwahi kumuhoji mtuhumiwa hadi mtuhumiwa akafa kwa pressure!!!! Inafikirisha hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, hatari sana.ilo ni kweli kuna afande namfahamu amesha muhoji mtuhumiwa hivi hivi akakata moto
tangu hapo jamaa kabla ya kumuhoji mtuhumiwa huwa anawatafuta ndugu zake washughulike dhamana maana anasema huwa wanapata presha wakirudishwa sero wanakata moto.