Pumzika kwa amani Emsley "Baba T" Smith

Sina hakika. Sikuwahi kumsikia akizungumza sentensi ndefu za Kiswahili. Hata hivyo, kuna jumuiya kubwa tu ya wasioizungumza hii lugha hapa Tanzania. Huenda waliomzunguka walipenda zaidi kuzungumza naye kwa Kiingereza na hivyo mawasiliano na watu wake wa karibu ikawa si shaka. Kama Kiswahili n
Angekua anatumika na serikali yoyote ile angejua sana kiswahili vizuri tena mpaka na kizaramo..maana ngekua mtu wa kujichanganya ili apate anachotaka
 
Natoa pole kwa wafiwa, natamani kabla hajafa angemkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake, kwasababu kufa bila Kristo ni hasara ya maisha. Rastafari wanaamini Haile Selasie yule muethiopia waliyemuassasinate ndio kristo wao/masihi wao, they don't believe in the God of Ibrahim Isaac and Jacobo. Mungu atusaidie wanadamu. kama kuna rasta yeyote humu ndani, jipambanue na uchukue hatua.
We huna ujualo mlokole uchwara tu kwani JAH!?? ni nani
 
Mara nyingi ukimsalimia kwa Kiswahili atakujibu "salama kaka" kisha fasta anakurudisha katika kilugha chake yaani hata kama ulikuwa unajaribu kumkazia muendelee kuchonga kiswahili lazima akuchomoke. Ni wazi hakuwa comfortable na Kiswahili.
Mmmhhh
 
Back
Top Bottom