Pumzika kwa amani Deo Filikunjombe, Leo Ulichokipigania Kimedhihiri

Terrible Teen

JF-Expert Member
May 1, 2017
916
2,634
Leo Ndugu Harbinder na mwenziye Rugemalira wamepandishwa kizimbani. Nina ushahidi wa kutosha wa Harbinder na genge lake kuhusika na uangushwaji wa helikopta ya Deo hasa kwa sababu ya msimamo wake imara katika suala la escrow kupitia kamati ya PAC.

Pumzika Deo , leo damu yako inaleta malipo mema kwa watanzania. Upuuzi wa Harbinder na fedha zake ulikuondoa duniani.
 
We, ushahidi! au porojo? Ushahidi?!
 
1495557_805824676146413_6135638843659591384_n.jpg
1604972_805824679479746_3078447622758722803_n.jpg
1555483_805824666146414_7023524676113359817_n (1).jpg

Baada ya kutishiwa kuuawa Wajumbe wa kamati ya PAC Wamekesha macho inshallah. Kutoka Kushoto: Luhaga Mpina, Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe.
 
Ok kuna mbuzi walikua wakisema hizo pesa siyo za umma, leo wamekamatwa wahusika utawaona wanakuja kushangilia
Jamani hawa watu wasamehewe bureeeee maana hawajitambui hawa. wanasababisha majanga wenyewe na wanajidai wanamasuluhisho. wapi na wapi?
 
Mhhh ushahidi wa kutosha? Mbona jamaa wa bumbuli chini ya carpet wanasema alihusika?

Story za vijiweni kwetu kwenye Kahawa

R.I.P Deo... KAFULILA WEWE NI MWANAUME... Sio wazungu tu ndio waitwe wanaume

Zitto salute kwako pia
 
Ok kuna mbuzi walikua wakisema hizo pesa siyo za umma, leo wamekamatwa wahusika utawaona wanakuja kushangilia
Ntamshangaa sana ndugai akipongeza kukamatwa kwa seth na rugemalira maana walimuita kafulila ana kimbelembele......
 
Love For All Hatered For None
(Upendo Kwa Wote, Bila Chuki Kwa Yoyote)
 
Back
Top Bottom