Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, pole Sana aiseeeee ila wewe ni kigego, yaani hadi Bibi anakusihi ukamuone na hujaenda kumuona hadi Amepumzika ndio Unajifanya kuwa na Uchungu! Umekosa baraka aiseee, ulikua busy kiasi cha kushindwa kabisa kwenda? Lakini angekua Demu anakuita hata Kama yuko wapi ungekopa nauli na kazini ukasingizia msiba au ugonjwa! Dah Umeniangusha saana!Habari za wakati huu wanajamvi.
.
Nimefiwa na bibi yangu mzaa baba siku ya leo ambaye makazi yake ni mkoani mwanza mtaa wa mkuyuni kata ya butimba .
NENDA SALAMA BIBI NAYAKUMBUKA MANENO YAKO SANA KUWA NIJE NIKUONE LA SIVYO NITAKUONA UKIWA UMEZIMA, NISAMEHE BIBI.
Dah, pole Sana aiseeeee ila wewe ni kigego, yaani hadi Bibi anakusihi ukamuone na hujaenda kumuona hadi Amepumzika ndio Unajifanya kuwa na Uchungu! Umekosa baraka aiseee, ulikua busy kiasi cha kushindwa kabisa kwenda? Lakini angekua Demu anakuita hata Kama yuko wapi ungekopa nauli na kazini ukasingizia msiba au ugonjwa! Dah Umeniangusha saana!
Mimi sina Wazazi kwa sasa ila nawashauri nyie Wenye Wazazi au Walezi, jifunzeni kuwapenda kwa Vitendo sio kwa maneno maana siku hawapo mtawakumbuka saana.
Sasa Unaweza kukuta Huyu kalelewa na Bibi yake kwa shida Leo hii hakwenda kumuona hadi Amepumzika!
Pole Sana aiseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi saana. Ushauri mzuri.Pole sana Mtani. Apumzike kwa Amani Bibi yetu Mpendwa.
Kama Chance inapatikana ni vyema kwenda kuhudhuria mazishi.
Elli, umeongea maneno kuntu sana. Na umeongea kwa hisia kali.Dah, pole Sana aiseeeee ila wewe ni kigego, yaani hadi Bibi anakusihi ukamuone na hujaenda kumuona hadi Amepumzika ndio Unajifanya kuwa na Uchungu! Umekosa baraka aiseee, ulikua busy kiasi cha kushindwa kabisa kwenda? Lakini angekua Demu anakuita hata Kama yuko wapi ungekopa nauli na kazini ukasingizia msiba au ugonjwa! Dah Umeniangusha saana!
Mimi sina Wazazi kwa sasa ila nawashauri nyie Wenye Wazazi au Walezi, jifunzeni kuwapenda kwa Vitendo sio kwa maneno maana siku hawapo mtawakumbuka saana.
Sasa Unaweza kukuta Huyu kalelewa na Bibi yake kwa shida Leo hii hakwenda kumuona hadi Amepumzika!
Pole Sana aiseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema mkuuDah, pole Sana aiseeeee ila wewe ni kigego, yaani hadi Bibi anakusihi ukamuone na hujaenda kumuona hadi Amepumzika ndio Unajifanya kuwa na Uchungu! Umekosa baraka aiseee, ulikua busy kiasi cha kushindwa kabisa kwenda? Lakini angekua Demu anakuita hata Kama yuko wapi ungekopa nauli na kazini ukasingizia msiba au ugonjwa! Dah Umeniangusha saana!
Mimi sina Wazazi kwa sasa ila nawashauri nyie Wenye Wazazi au Walezi, jifunzeni kuwapenda kwa Vitendo sio kwa maneno maana siku hawapo mtawakumbuka saana.
Sasa Unaweza kukuta Huyu kalelewa na Bibi yake kwa shida Leo hii hakwenda kumuona hadi Amepumzika!
Pole Sana aiseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Elli, umeongea maneno kuntu sana. Na umeongea kwa hisia kali.
Vijana wengi tunakosea sana hapa.
Utakuta tunawapenda wazazi na walezi wetu kwa maneno au wakati hatuna kitu.
Ila tukishakuwa mbali nao tunasahau kuwa hata kwenda kuwaona tu ni moja ya upendo na zawadi kubwa kwao na pia wanafarijika mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za wakati huu wanajamvi.
.
Nimefiwa na bibi yangu mzaa baba siku ya leo ambaye makazi yake ni mkoani Mwanza mtaa wa Mkuyuni kata ya Butimba .
NENDA SALAMA BIBI NAYAKUMBUKA MANENO YAKO SANA KUWA NIJE NIKUONE LA SIVYO NITAKUONA UKIWA UMEZIMA, NISAMEHE BIBI.
Pole sana EliMpwa, Mzazi hata akiwa kichaa! Mpende tu, kuna watu wanatafuta hawana mtu wa kumuita Mama au Baba!
Nilienda home siku hio, Nyumba iko tupu, ni makaburi yamebaki tu! Hakuna furaha ya kwenda likizo Tena..... Dah naomba tuishie hapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni bibi..Dah, pole Sana aiseeeee ila wewe ni kigego, yaani hadi Bibi anakusihi ukamuone na hujaenda kumuona hadi Amepumzika ndio Unajifanya kuwa na Uchungu! Umekosa baraka aiseee, ulikua busy kiasi cha kushindwa kabisa kwenda? Lakini angekua Demu anakuita hata Kama yuko wapi ungekopa nauli na kazini ukasingizia msiba au ugonjwa! Dah Umeniangusha saana!