Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za kusukuma maji horizontally au kwa jina lingine surface irrigation.
Wajuvi wa hii mambo ni aina ipi ya pump ni nzuri na imara na bei yake kwa hapa Dar tafadhali
Wajuvi wa hii mambo ni aina ipi ya pump ni nzuri na imara na bei yake kwa hapa Dar tafadhali