Pump kwa ajili ya surface/horizontal water supply

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,348
2,000
Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za kusukuma maji horizontally au kwa jina lingine surface irrigation.

Wajuvi wa hii mambo ni aina ipi ya pump ni nzuri na imara na bei yake kwa hapa Dar tafadhali
 
Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,288

Tafuta pedrolo itakusaidia
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,960
2,000
Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za kusukuma maji horizontally au kwa jina lingine surface irrigation.

Wajuvi wa hii mambo ni aina ipi ya pump ni nzuri na imara na bei yake kwa hapa Dar tafadhali
Nunua Lorenz solar water pump. Ana package ya1000000 mpaka 5000000. Kama una hela nunua hio kama huna nunua za petroli sh.300000 ya nchi 3. Ipo ya nch 2 sh.240000.mpira ft 100. Sh. 150000 mpaka 200000.
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
7,003
2,000
Mkuu pump zipo za aina nyingi sana, inategemea na size ya shamba lako, binafsi nakushauri hivi; kama shamba lako umeliwekea mabomba and then una connect hose pipes kwa ajili ya irrigation then nunua pump ya 1. 0HP halafu funga automatic system, ukifungua tu bomba lolote na yenyewe inawaka automatic, hiyo automatic inaangalia pressure ilioko kwenye line, haiuzwi bei mbaya kivile, nadhani kwa Dar ni kama Tsh 150k na hiyo sensor ni kama 75k, umeme ndio huo 1.0HP, 2HP=746w, nadhani ipo iko ndani ya uwezo, again haitakua inatembea masaa yote, automatic system itakua inaiwasha pump wakati hitajika tu.
 
Wazo zuri sana.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,476
2,000
Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za kusukuma maji horizontally au kwa jina lingine surface irrigation.

Wajuvi wa hii mambo ni aina ipi ya pump ni nzuri na imara na bei yake kwa hapa Dar tafadhali
Nenda wilayani ulizia ofisi ya ruwasa, omba injinia wa maji aje akusaidie hiyo kesi yako.

Hata ukienda ofisi ya kilimo ulizia injinia wa umwagiliaji atakusaidia..
 
EVIGT

Senior Member
Jul 9, 2014
195
225
Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za kusukuma maji horizontally au kwa jina lingine surface irrigation.

Wajuvi wa hii mambo ni aina ipi ya pump ni nzuri na imara na bei yake kwa hapa Dar tafadhali
zipo pump zinazotumia nishati za jua kama inavyoonekana hapa chini.
kuna kubwa yenye uwezo wa kutoa lita 13000 kwa saa inapatikana kwa 2,500,000/=
ndogo yenye uwezo wa kutoa lita 2100 kwa saa inapatikana kwa 800,000/=
gharama hizo ni complete set na installations
download (1).jpeg

Pia kuna zinazotumia petrol na diesel
pump gasdiesel.jpg

pia zinazotumia umeme zipo ukiitaji kujua bei nitakuwekea hapa hapa..
 
SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,348
2,000
zipo pump zinazotumia nishati za jua kama inavyoonekana hapa chini.
kuna kubwa yenye uwezo wa kutoa lita 13000 kwa saa inapatikana kwa 2,500,000/=
ndogo yenye uwezo wa kutoa lita 2100 kwa saa inapatikana kwa 800,000/=
gharama hizo ni complete set na installations
View attachment 1891506
Pia kuna zinazotumia petrol na diesel
View attachment 1891511
pia zinazotumia umeme zipo ukiitaji kujua bei nitakuwekea hapa hapa..

Kwa mazingira yangu naona nitatumia ya umeme aisee. Bajet ya solar kwa sasa sina. Pia kwa sababu natumia umeme kupandisha maji vertically, yanajaa kwenye kisima ambacho kiko pembeni tu hapo, ni rahisi kuunganisha umeme kwa kusambaza horizontally
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom